Mtawalaumu bure TRA wakati watunga sheria ndio chanzoBongo mchawi TRA
Kingine tafuta matapo ya nchi kwenye kodi za mafuta kwa mwaka then jiulize hawa watu hizo kodi wataziamishia kwenye nini iwapo uingizwaji wa mafuta nchini utashuka?
Mtawalaumu bure TRA wakati watunga sheria ndio chanzoBongo mchawi TRA
Ndiyo wachina wanaforce tena si kitoto si unaona walivyojazana kariakoo wanauza yeboyebo, maua tena rejareja hivi unajua kama hayo ni masharti yanayoambatana na mikopo yao?
Wanabebwa na nguvu ya ndaniKitu kimoja nawakubali wachina wanapiga kazi kinouma na hawakati tamaa kirahisi , nenda kawaone wachina kwenye biashara mbalimbali US utanipa jibu lako
Mtawalaumu bure TRA wakati watunga sheria ndio chanzo
Mkuu hivi gari kuna kampuni za china zinauza gari used za mchina kuja bongo? (I mean una uzoefu nazo?)namaanisha brand zao kama haval? maana kama bei itakuwa rahisi let say if kuna gepu la bei up to let say 40% compare na gari used za kijapani na if hayasumbui kwenye kuyatengeneza basi huenda ikawa ni deal safi kununua gari used za mchina
Mpaka kuanza kutengeneza magari yetu sijui itakuwa liniTutaanza kuyafanya haya mambo endapo serikali itabadili kodi kwa magari mapya kuwa bei ya chini na used kodi kuwa juuu. Vinginevyo style ni hii hii
Ile paleVipi hiyo mikono aliyonyoosha mjapani Iko wapi
Tatizo bei, bila milioni 100+ hupati gari. Tusubiri used miaka kumi ijayoMchina ameanza kuingia soko la Africa hapo South Africa kakichafua hatari
Mpaka wazungu BMW, Audi, Volvo, VW, Mercedes Benz, Ford wameanza kuona mauzo yakishuka kwa kasi. Volvo wamefunga dealerships
Wasouth wanapaa na Mchina ni mwendo wa Haval, Chery, GWM, BAIC
Mchina hapa Africa tulishamzoea kwenye trucks na coaches tu sasa hivi kashapiga hodi Africa na sedan (saloon) na SUV
Mbongo anaamini katika kutengeneza ugumu kwenye process ili tu aonekane ni muhimu wakati ni fala tu
Sio zote zinacheza kwenye milioni 100+ hadi chini ya hapo unapataTatizo bei, bila milioni 100+ hupati gari. Tusubiri used miaka kumi ijayo
Ni uzwazwa tuNi sawa na walimu wa bongo na lectrurers mavyuoni wanaamini pepa likiwa gumu akiwashika wanafunzi kwenye sup au wakafeli ndio ubora
Abiria wanapenda kupanda basi jipya kila safari, sasa basi litoe huduma miaka 5 na zaidi nani atapenda kusafiri nalo?.Kwani wewe huzioni, lifespan yake ni fupi mno...
Jeshi la polisi halina historia ya kutunza magari yao hata yawe ni ya Toyota. Angalia zile Cruiser 70 series single cab zilivyochoka.Kuna yale yanaitwa Sullivan wanayo sana polisi duh body zake zinachoka utafikiri ni za fibre. Dunia inapokwenda mchina atazidi sana pata soko maana nchi nyingi zitafilisika na zitajikuta zinalazimika nunua vya mchina sababu ya bei ndogo ,hii ndoa ya Karimjee Jivanjee Toyota na serikali very soon inavunjika na kutakuwa na ndoa kati muuzaji wa magari ya kichina na serikali maana serikali itabidi ibane matumizi na hivyo talazimika kununua magari ya mchina. Kama ambavyo serikali miradi ya ujenzi inalazimika kumpa mchina na magari takuwa hivyohivyo na walivyo watoaji wa rushwa nono wale wale ni suala la muda tu. Naiona Home » Kifaru Motors Tanzania na wauzaji wengine wa magari ya kichina wakiipumulia Toyota Tanzania kisogoni
Makampuni makubwa yanauza baada ya miaka kadhaa, sasa hizo yutong zako miaka mitatu hazina kazi tena.Abiria wanapenda kupanda basi jipya kila safari, sasa basi litoe huduma miaka 5 na zaidi nani atapenda kusafiri nalo?.
Pamoja na kodi?Sio zote zinacheza kwenye milioni 100+ hadi chini ya hapo unapata
0km hadi kwa 30m unapata
Unajua tatizo ni nini, elimu ya vyuo vya ufundi imezaraulika sana na bado ina operate ki local using old technology in advance world.. nchi yeyote ya viwanda inategemea supply toka katika vyuo vya ufundi. Bongo supply ya elimu ya makaratasi ni kubwa kuliko demand ya ufundi stadi.Mpaka kuanza kutengeneza magari yetu sijui itakuwa lini
Hata kuyaunganisha tu nchini labda bei zitashuka kiasi
Serikali haiko serious na haya.Unajua tatizo ni nini, elimu ya vyuo vya ufundi imezaraulika sana na bado ina operate ki local using old technology in advance world.. nchi yeyote ya viwanda inategemea supply toka katika vyuo vya ufundi. Bongo supply ya elimu ya makaratasi ni kubwa kuliko demand ya ufundi stadi.
Ili tuwe na viwanda vingi venye kufanya mambo makubwa tunahitaji vijana graduate wa vyuo vya ufundi stadi wengi katika mapinduzi ya viwanda
Hapa tunaupia mwingiKusema la haki sio kuwa nabeza lakini ukiangalia youtube kwa upande wetu
Utaona treni ya umeme ambayo sijui ikoje mpaka sasa
Na vichekesho vya kijinga wakiwemo kina kina Nanga mpaka wakichokonoa pua na kutoa tongo wakiwa live na kina mweusi basi
Angalia wenzetu hata UG na Kenya kuna mengi sana vijana wanafanya kama mifugo, kilimo na hata makampuni
Fursa kwa wabongo hawazioni bali kulalamika tu
Ukiongelea fursa wanakuambia mtaji baba
Ila bado sana kwa maendeleo bongo
Tuko nyuma mno kwa ukiritimba na kubaniana fursa pia kunachangia
GWM, au Sullivan zinawahi choka mapema mnooooooo huwezi fananisha na Toyota yeyote ile au Landrover yeyote ile. Kwa hiyo hata kama ukitunza kama yai still za mchina ndizo zitawahi kuchoka tena kuchoka mapemaa haswaaaa.Jeshi la polisi halina historia ya kutunza magari yao hata yawe ni ya Toyota. Angalia zile Cruiser 70 series single cab zilivyochoka.