Car4Sale Land Rover Defender 110 For sale

luqman luqman

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
846
Reaction score
1,394
Habari wakuu

Land Rover Defender 110
Gari ni ya mwaka 2000
Documents halali zipo
Nzima, kila kitu kiko sawa
Bei 35 Millions

Gari iko Sinza, Dar es Salaam, kwa aliye interested karibu sana na fundi wako mje kukagua gari.

Mawasiliano zaidi 0710102811





 
Hiyo chuma ukiichukua ukawatupia wahuni wangu wa Arusha hasa bosco designer, au uitupe mbinga waisuke upya, waiwekee tyre na rim size ya kijanja, halafu juu waichape carrier matata hapo uanze zile safari za mkoa kwa mkoa na ichapwe rangi ya gari kama kijani mpauko, nyeusi au rangi ya jeshi la marekani, halafu backdoor iwekewe tyre lake kila utapopita lazima watu waulizane huyo mtalii wa kutokea wapi tena
 
🤣🤣👍👍
 
Haswaaaa... chuma hulali chaka hii.. kuna mwaraa hapa shinyanga nae anazitoa kama Bosco Arusha.. ni hatari mie nina kakipisi TDi.. pori linashika adabu na barabara zake 😅😅😅
 
Haswaaaa... chuma hulali chaka hii.. kuna mwaraa hapa shinyanga nae anazitoa kama Bosco Arusha.. ni hatari mie nina kakipisi TDi.. pori linashika adabu na barabara zake [emoji28][emoji28][emoji28]

Huyo wa shy sijamfahamu kabisa na najua bei zake zitakua chini sana anaitwa nani nimtafute huyo,
 
A! Ikisha kula sport rims, ukafunga mdundo na smart screen[emoji848][emoji108][emoji7][emoji2956]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama chuma ya dogo janja au kuna difenda anaendeza Mume wa Zamaradi ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…