Car4Sale Land Rover Defender 110 For sale

Car4Sale Land Rover Defender 110 For sale

Habari wakuu

Land Rover Defender 110
Gari ni ya mwaka 2000
Documents halali zipo
Nzima, kila kitu kiko sawa
Bei 35 Millions

Gari iko Sinza, Dar es Salaam, kwa aliye interested karibu sana na fundi wako mje kukagua gari.

Mawasiliano zaidi 0710102811
View attachment 2543231
View attachment 2543232
View attachment 2543233
View attachment 2543234
View attachment 2543235
View attachment 2543236
Gharama zake kwa capital zone kuifanya iwe ya kisasa inaweza kuwa ngapi
 
Hiyo chuma ukiichukua ukawatupia wahuni wangu wa Arusha hasa bosco designer, au uitupe mbinga waisuke upya, waiwekee tyre na rim size ya kijanja, halafu juu waichape carrier matata hapo uanze zile safari za mkoa kwa mkoa na ichapwe rangi ya gari kama kijani mpauko, nyeusi au rangi ya jeshi la marekani, halafu backdoor iwekewe tyre lake kila utapopita lazima watu waulizane huyo mtalii wa kutokea wapi tena

Braza umeitaja mbinga tu roho yangu imesuuzika
 
Back
Top Bottom