kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
hahahha Mlinzi hatabasam hovyo bhanaHuu muundo wanaotaka kutengeneza haufai. Inawezekana vipi Defender ikawa ina tabasamu? Gari inatabasam? No way... Waache masikhara waweke body zile zile za zaman za sura ya kazi. Hayo matoy sisi hatutak. Wanataka gar zote ziwe za kidemu? Hawatutendei haki sisi wanaume wababe.