Land Rover Defender Tdi vs Land Cruiser 70 series

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
9,968
Reaction score
16,680
Nimekuta wadau wa magari wanabishana kuhusu ubora wa hizi gari pendwa za off road aka gari za pori.

Nani mkali kuanzia Bei ikiwa mpya Au used, Maintenance, resale value nk.

Binafsi naona LC 70’s ni gari ya uhakika kwa wapenzi wa off road.

 

Attachments

  • IMG_3109.jpg
    75.1 KB · Views: 43
Land Rover ni best kwa fuel economy, 4wd ya uhakika na nguvu kubwa kwa engine zenye displacement ndogo kuzidi Land Cruiser pia hata kwenye tope zito unapata maximum power na haina tabia ya kuchoma Clutch plate kama Cruiser na Patrol.

Mapungufu yake ni kuua bush, bearing hapo ndio Land Cruiser kampiga gap.
 
Land Cruiser ina balaa hiyo Rover inasifiwa kwenye tope ila bara bara ya Rasta huko Serengeti ikifika Makuyuni kwenye lami kusikia kelele za mabati yake kawaida tuu wakati Mnyama Cruiser hicho kitu hakipo kabisaa...
 

Attachments

  • IMG-20230307-WA0062.jpg
    50 KB · Views: 34
  • IMG-20230307-WA0063.jpg
    53.8 KB · Views: 32
  • IMG-20230307-WA0057.jpg
    61.6 KB · Views: 34
  • IMG-20230307-WA0059.jpg
    43.2 KB · Views: 34
Uchawi wa off road upo kwenye bush na bearing.
Mambo ya trip moja shamba ukirudi garage hamna mtu anataka hiyo biashara kichaa.
 
Land Cruiser ina balaa hiyo Rover inasifiwa kwenye tope ila bara bara ya Rasta huko Serengeti ikifika Makuyuni kwenye lami kusikia kelele za mabati yake kawaida tuu wakati Mnyama Cruiser hicho kitu hakipo kabisaa...
Cruiser ukienda pori ukirudi ni mwendo mdundo tu.
Haina mambo ya kugonga huko chini
 
Mkuu Vp kuhusu Nissan patrol y61 maarafu kama Nissan nyeupe TD42
 
Mkuu Vp kuhusu Nissan patrol y61 maarafu kama Nissan nyeupe TD42
Hiyo ina balsa sana pia hiyo Engine inaku2a kwenye Civilian bus sasa inefungwa kwenye Patrol au Pick up gari inakua na nguvu sana harafu matumizi yake ya mafuta sio sana ila Nissan walikuja kuboresha kwenye ZD 30 Engine zipo za matoleo matatu nazo zinafanya vizuri...
 
You Know well this Issue
 

ZD 30 hamna kitu. Itakupa power na fuel consumption nzuri kidogo kulinganisha na TF 42 ila usitarajie reliability ya TD42 hata kidogo. TD42 ni 1HZ ya Nissan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…