Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niuze gari ninayoipenda kwa ajili tu ya kumfurahisha dalali? Ni nani kwangu? Mke wangu?Madalali wa magari wakijua unamiliki hiyo cruiser 70 watakusumbua mpaka utauza tu.
Hiyo gari ni dhanabu inayotembea
Umeishia darasa la ngapiNiuze gari ninayoipenda kwa ajili tu ya kumfurahisha dalali? Ni nani kwangu? Mke wangu?
Kweli taifa hili limejaa watu wasio jitambua
Ni check mkononi. Hapa Toyota alichezaMadalali wa magari wakijua unamiliki hiyo cruiser 70 watakusumbua mpaka utauza tu.
Hiyo gari ni dhanabu inayotembea
Ngumbaru. Na wewe una PhD ngapi mzee?Umeishia darasa la ngapi
Uchawi wa off road upo kwenye bush na bearing.Land Rover ni best kwa fuel economy, 4wd ya uhakika na nguvu kubwa kwa engine zenye displacement ndogo kuzidi Land Cruiser pia hata kwenye tope zito unapata maximum power na haina tabia ya kuchoma Clutch plate kama Cruiser na Patrol.
Mapungufu yake ni kuua bush, bearing hapo ndio Land Cruiser kampiga gap.
Cruiser ukienda pori ukirudi ni mwendo mdundo tu.Land Cruiser ina balaa hiyo Rover inasifiwa kwenye tope ila bara bara ya Rasta huko Serengeti ikifika Makuyuni kwenye lami kusikia kelele za mabati yake kawaida tuu wakati Mnyama Cruiser hicho kitu hakipo kabisaa...
Mkuu Vp kuhusu Nissan patrol y61 maarafu kama Nissan nyeupe TD42Land Rover ni best kwa fuel economy, 4wd ya uhakika na nguvu kubwa kwa engine zenye displacement ndogo kuzidi Land Cruiser pia hata kwenye tope zito unapata maximum power na haina tabia ya kuchoma Clutch plate kama Cruiser na Patrol.
Mapungufu yake ni kuua bush, bearing hapo ndio Land Cruiser kampiga gap.
Hiyo ina balsa sana pia hiyo Engine inaku2a kwenye Civilian bus sasa inefungwa kwenye Patrol au Pick up gari inakua na nguvu sana harafu matumizi yake ya mafuta sio sana ila Nissan walikuja kuboresha kwenye ZD 30 Engine zipo za matoleo matatu nazo zinafanya vizuri...Mkuu Vp kuhusu Nissan patrol y61 maarafu kama Nissan nyeupe TD42
You Know well this IssueLand Rover ni best kwa fuel economy, 4wd ya uhakika na nguvu kubwa kwa engine zenye displacement ndogo kuzidi Land Cruiser pia hata kwenye tope zito unapata maximum power na haina tabia ya kuchoma Clutch plate kama Cruiser na Patrol.
Mapungufu yake ni kuua bush, bearing hapo ndio Land Cruiser kampiga gap.
Binti inaonekana unakiburiNiuze gari ninayoipenda kwa ajili tu ya kumfurahisha dalali? Ni nani kwangu? Mke wangu?
Kweli taifa hili limejaa watu wasio jitambua
Heshima ni ya bure. JiheshimuBinti inaonekana unakiburi
Niuze gari ninayoipenda kwa ajili tu ya kumfurahisha dalali? Ni nani kwangu? Mke wangu?
Kweli taifa hili limejaa watu wasio jitambua
Hiyo ina balsa sana pia hiyo Engine inaku2a kwenye Civilian bus sasa inefungwa kwenye Patrol au Pick up gari inakua na nguvu sana harafu matumizi yake ya mafuta sio sana ila Nissan walikuja kuboresha kwenye ZD 30 Engine zipo za matoleo matatu nazo zinafanya vizuri...