Defender ni gari nzuri lakini inapitwa na wakati sasa
Mkonga ndio habari ya mjini
Wajapan bado wanaizalisha na kuiongezea ubora
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeishia darasa la ngapi
Zipo aina kama tatu hivi zile za umeme na hizi za kawaida mimi ipo kwenye Nissan Patrol pick up ya 2014 made ya SA ina nguvu sana ile gari na sijawahi kugusa kitu chochote na sitegemei kufanya hicho karibuni ipo mbeya huko kazi za porini inafanya vizuri...ZD 30 hamna kitu. Itakupa power na fuel consumption nzuri kidogo kulinganisha na TF 42 ila usitarajie reliability ya TD42 hata kidogo. TD42 ni 1HZ ya Nissan
Hili neno ‘inapitwa na wakati’ nadhani limetumika mahali sipo. Defender imeboreshwa sana tu ukianzia na zile zenye engine ya PUMA ila sidhani kama ina uimara kama ule wa zamani. Defender latest bei yake ni msala na si rahisi uinunue uitumie kwa shughuli za pori kama zamani. Imekuwa luxury zaidi, umeme mwingi n.k
Defender inapitwaje na wakati na wana new models hadi za 2023.Defender ni gari nzuri lakini inapitwa na wakati sasa
Mkonga ndio habari ya mjini
Wajapan bado wanaizalisha na kuiongezea ubora
Defender inapitwaje na wakati na wana new models hadi za 2023.
Hahahahah halafu unakuta spare zake bei ni mara 2 ya spare za Land Cruiser hapo ndipo maaskari walipoona kuwa acha LR zibaki kwa ma RTO tu 🤣🤣🤣 ambao hawana kashi kashi sana. Wao ni mwendo wa 1HZ tu haina mbambamba.Uchawi wa off road upo kwenye bush na bearing.
Mambo ya trip moja shamba ukirudi garage hamna mtu anataka hiyo biashara kichaa.
Nissan y61 ipo vizuri.Mkuu Vp kuhusu Nissan patrol y61 maarafu kama Nissan nyeupe TD42
TD42 ni balaa sema kuna wadau wanasema huwa zina tabia ya kuchemsha ukikanyanga sana.ZD 30 hamna kitu. Itakupa power na fuel consumption nzuri kidogo kulinganisha na TF 42 ila usitarajie reliability ya TD42 hata kidogo. TD42 ni 1HZ ya Nissan
Vp reliability ya Nissan? TD42Nissan y61 ipo vizuri.
Hizi gari kila moja ina sifa yake Land Rover fuel consumption, Land Cruiser Reliability na Nissan Patrol ina stability kubwa.
Nadhani waliamua kuacha 1hz kwa sababu ni engine ngumu ya kazi. Haina mwendo lakini unafika popote bila wasiwasi.Hahahahah halafu unakuta spare zake bei ni mara 2 ya spare za Land Cruiser hapo ndipo maaskari walipoona kuwa acha LR zibaki kwa ma RTO tu 🤣🤣🤣 ambao hawana kashi kashi sana. Wao ni mwendo wa 1HZ tu haina mbambamba.
Sema hadi leo najiuliza kwanini Toyota hawakutoa hizi Landcruiser 70 zenye 1HDT engine. Maana ile engine iko more powerful na ina speed zaidi hata milimani.
Nadhani issue kubwa ilikua Turbo na marketing policy, 1HDT ikae kwenye VX na Luxury CoasterHahahahah halafu unakuta spare zake bei ni mara 2 ya spare za Land Cruiser hapo ndipo maaskari walipoona kuwa acha LR zibaki kwa ma RTO tu 🤣🤣🤣 ambao hawana kashi kashi sana. Wao ni mwendo wa 1HZ tu haina mbambamba.
Sema hadi leo najiuliza kwanini Toyota hawakutoa hizi Landcruiser 70 zenye 1HDT engine. Maana ile engine iko more powerful na ina speed zaidi hata milimani.
Vp reliability ya Nissan? TD42
Hahahahah halafu unakuta spare zake bei ni mara 2 ya spare za Land Cruiser hapo ndipo maaskari walipoona kuwa acha LR zibaki kwa ma RTO tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ambao hawana kashi kashi sana. Wao ni mwendo wa 1HZ tu haina mbambamba.
Sema hadi leo najiuliza kwanini Toyota hawakutoa hizi Landcruiser 70 zenye 1HDT engine. Maana ile engine iko more powerful na ina speed zaidi hata milimani.
Hii chuma hata nikipata pesa leo nitaimiliki tena, hii chuma naikubali mnooo, ni shida tu ikabidi niisukume.. ukiitekenya inavyounguruma, unaipa kidonge, chuma ikikolea moto inanesa tu, njia safi, ya vumbi twende tu. Engine ngumu ile, natoka tabora nipo moro ikazima ghafla kwenye tuta,ikagoma kuwaka, kumbe rejeta ilitoboka inavujisha maji, nikajua sasa engine nimeuwa, mikono kichwani nawaza, nainyea wapi mimi pesa ya kununua td42 kipindi hiko.. fundi kuja kaicheki,akasema tusubiri tu ipoe, tukajaza maji, kupiga jino moja, ikawa tunaenda umbali fulani tunajaza maji, mpaka naipata dar nilijaza maji kama mara 2 hivi.Mkuu Vp kuhusu Nissan patrol y61 maarafu kama Nissan nyeupe TD42
Hizo nyingine sijawahi zigusa.. japo huwa naitamani saana 70 ile ya souble cabin sijui ni 70 ile au 78 ama 79.. naitamani mnoo.Nissan y61 ipo vizuri.
Hizi gari kila moja ina sifa yake Land Rover fuel consumption, Land Cruiser Reliability na Nissan Patrol ina stability kubwa.
70 series is not made for speed.Hahahahah halafu unakuta spare zake bei ni mara 2 ya spare za Land Cruiser hapo ndipo maaskari walipoona kuwa acha LR zibaki kwa ma RTO tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ambao hawana kashi kashi sana. Wao ni mwendo wa 1HZ tu haina mbambamba.
Sema hadi leo najiuliza kwanini Toyota hawakutoa hizi Landcruiser 70 zenye 1HDT engine. Maana ile engine iko more powerful na ina speed zaidi hata milimani.
Ni delicate sana nadhani kwenye ishu ya TURBO mjepu alichochora.ila 1HZ man ni durable kichizi ila power haina kivile.nilisikia tetesi 1hz zipo zina TURBO.Hahahahah halafu unakuta spare zake bei ni mara 2 ya spare za Land Cruiser hapo ndipo maaskari walipoona kuwa acha LR zibaki kwa ma RTO tu 🤣🤣🤣 ambao hawana kashi kashi sana. Wao ni mwendo wa 1HZ tu haina mbambamba.
Sema hadi leo najiuliza kwanini Toyota hawakutoa hizi Landcruiser 70 zenye 1HDT engine. Maana ile engine iko more powerful na ina speed zaidi hata milimani.
Asee kumbe hizi gari ni roho ya paka!Hii chuma hata nikipata pesa leo nitaimiliki tena, hii chuma naikubali mnooo, ni shida tu ikabidi niisukume.. ukiitekenya inavyounguruma, unaipa kidonge, chuma ikikolea moto inanesa tu, njia safi, ya vumbi twende tu. Engine ngumu ile, natoka tabora nipo moro ikazima ghafla kwenye tuta,ikagoma kuwaka, kumbe rejeta ilitoboka inavujisha maji, nikajua sasa engine nimeuwa, mikono kichwani nawaza, nainyea wapi mimi pesa ya kununua td42 kipindi hiko.. fundi kuja kaicheki,akasema tusubiri tu ipoe, tukajaza maji, kupiga jino moja, ikawa tunaenda umbali fulani tunajaza maji, mpaka naipata dar nilijaza maji kama mara 2 hivi.
Unaacha kitu huku unakipenda basi ni hii gari, nikiiona njiani nakumbuka mbali na sononeko linakuja kiaina.
Asee kumbe hizi gari ni roho ya paka!
Vp kuhusu mwendo?!