mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Defender ni gari nzuri lakini inapitwa na wakati sasa
Mkonga ndio habari ya mjini
Wajapan bado wanaizalisha na kuiongezea ubora
Hili neno ‘inapitwa na wakati’ nadhani limetumika mahali sipo. Defender imeboreshwa sana tu ukianzia na zile zenye engine ya PUMA ila sidhani kama ina uimara kama ule wa zamani. Defender latest bei yake ni msala na si rahisi uinunue uitumie kwa shughuli za pori kama zamani. Imekuwa luxury zaidi, umeme mwingi n.k