makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hazichanganyi kwa haraka,nzito kidogo, ukiwa unaenda mkoani 180 unaimaliza bila wasi.Asee kumbe hizi gari ni roho ya paka!
Vp kuhusu mwendo?!
TD42 nadhani ipo Poa sana, hasa ule mlio wake afu upate kitu Manual gearbox. Ni mwendo wa kupiga gia tuHazichanganyi kwa haraka,nzito kidogo, ukiwa unaenda mkoani 180 unaimaliza bila wasi.
Ikishika mwendo imeshika, ujana ujinga nishafanya fanya viligi uchara barabarani na haikuniangusha.
Kuna moja niliiona kwa jamaa ni petroli, top speed ilikuwa 220 hivi, nadhani ile inachamgamya haraka zaidi.
Kwangu speed 140 inanitosha kabisa. Ilimradi gari linafika popote bila wasiwasi wa kuharibika hovyoThey are no where near speedsters. Hazina mwendo ila zina nguvu. Yani ukiwa nalo usiwaze kufukuzana na watu njiani. Naloendesha tambarare unapata hata 140 ila si kwa haraka
Yes,140 ni nyingi saana,zinga lake hapo kutoka ni kudra za mungu tu.Kwangu speed 140 inanitosha kabisa. Ilimradi gari linafika popote bila wasiwasi wa kuharibika hovyo
Kwenye civilian nyingi hukumbana na tatizo la kuchemsha na ndio maana hawazipi sana safari ndefu tofauti na mshindani wake coaster 1hz ile ni tupa geuka.Hiyo ina balsa sana pia hiyo Engine inaku2a kwenye Civilian bus sasa inefungwa kwenye Patrol au Pick up gari inakua na nguvu sana harafu matumizi yake ya mafuta sio sana ila Nissan walikuja kuboresha kwenye ZD 30 Engine zipo za matoleo matatu nazo zinafanya vizuri...