makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hazichanganyi kwa haraka,nzito kidogo, ukiwa unaenda mkoani 180 unaimaliza bila wasi.Asee kumbe hizi gari ni roho ya paka!
Vp kuhusu mwendo?!
Ikishika mwendo imeshika, ujana ujinga nishafanya fanya viligi uchara barabarani na haikuniangusha.
Kuna moja niliiona kwa jamaa ni petroli, top speed ilikuwa 220 hivi, nadhani ile inachamgamya haraka zaidi.