Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Jamaa kazidisha kuponda eti discovery zina cc 4300 mi nasema si zote maana zipo za 4,5,6 na 8 clys
 
disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
Boss.

Hivi ukinunua gari toka South lenye usajili wa huko. Ukalileta hapa bongo, unatakiwa kulitumia kwa muda gani hapa Tz hadi ulisajili?
 
Boss.

Hivi ukinunua gari toka South lenye usajili wa huko. Ukalileta hapa bongo, unatakiwa kulitumia kwa muda gani hapa Tz hadi ulisajili?
Mkuu mimi naona tunatumia tuu mpaka mwaka ila wewe utakavyoamua maana ile inatolewa kwa mtu mwenye resident permit ya kuishi SA kwa hiyo unasema unarudi kutembea au ambae sio raia anatumia gari Tanzania unaweza ukatumia unavyotaka ila wana masharti ya waanotakiwa kuendesha gari...sema ukilipia kibali chao unapata hela ya kulipia Kodi taratibu tu
 
Una uzoefu kwenye hilo?

Kibali kinagharimu kiasi gani?
 
Zipo discovery 2.7L 6cyl
 
Asante Sana Mkuu, kuna lawyer hapa Arusha ana discovery 4 ya S.A anasema hii gari yangu ndani ni kali Sana lkn kwa nje body yake ni nyanya i.e nyepesi tofauti na discovery 4 made in UK Mkuu.
Nijuavyo mimi Landrover UK au SA are simply the same. Hakuna manufacturer atakaekubali kuzalisha kitu kilekile na kutumia jina lake na kutoa kitu cha hali ya chini, hakuna. The fact is in SA they are doing the assembling only.
 
Na haya magari ya South Africa yenye namba za huko inatakiwa yakae na namba hizo kwa muda gani kabla ya kusajiliwa hapa?
 
Mkuu unaweza kujibu swali hili?
Isanga family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…