Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Hlw....kuna uwezekano wa kupata d2 south ya manual ila kabla haijaletwa bongo ibadilishwe engine iwekwe td300
Pia inaweza kuja na Engine uliyoikuta humo huko ndio ukabadilisha Engine ambayo umeibeba huku utaipata kwa gharama nafuu..hizo gari hazina bei kubwa wanazo sana Wazungu wakiuza wanauza bei ya kutupa zina kodi ya 11m mpaka 12m TRA..
 
Una mfumo wa kuileta Bongo au hadi niifate
Naleta Tanzania gari yeyote unayotaka kwanza nakutumia gharama zake za ununuzi mpaka Tunduma unaweza kutuma hela au Uje SA au nije huko tukabidhiane kwa kuonana yote sawa tu nipo SA naleta gari wiki ijayo ukiwa tayari tunawasiliana.
 
Back
Top Bottom