Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Zipo nyingi manual za TD5Hlw....kuna uwezekano wa kupata d2 south ya manual ila kabla haijaletwa bongo ibadilishwe engine iwekwe td300
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo nyingi manual za TD5Hlw....kuna uwezekano wa kupata d2 south ya manual ila kabla haijaletwa bongo ibadilishwe engine iwekwe td300
Pia inaweza kuja na Engine uliyoikuta humo huko ndio ukabadilisha Engine ambayo umeibeba huku utaipata kwa gharama nafuu..hizo gari hazina bei kubwa wanazo sana Wazungu wakiuza wanauza bei ya kutupa zina kodi ya 11m mpaka 12m TRA..Hlw....kuna uwezekano wa kupata d2 south ya manual ila kabla haijaletwa bongo ibadilishwe engine iwekwe td300
Una mfumo wa kuileta Bongo au hadi niifateZipo nyingi manual za TD5
Naleta Tanzania gari yeyote unayotaka kwanza nakutumia gharama zake za ununuzi mpaka Tunduma unaweza kutuma hela au Uje SA au nije huko tukabidhiane kwa kuonana yote sawa tu nipo SA naleta gari wiki ijayo ukiwa tayari tunawasiliana.Una mfumo wa kuileta Bongo au hadi niifate