Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu hapo nimeelekeza jinsi ya wenye vibali kule ili waruhusiwe kisheria kuingia na gari Tanzania...au ulikua na swali tofauti na hayo maelekezo nifafanunulie nikuelewe...Mkuu unaweza kujibu swali hili?
Isanga family
ziipita hizo siku usipobadili unalipa faini,kiasi gani?,maan inawezekana mtu kaja kutembea tu ila anaweza kaa zaidi ya hizo siku 2121 days.
Inawezekana hata Baiskeli huna!Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.
Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Hizi picha nimeweka 05/12/2020 miaka minne baada ya comment ya juu ili mjionee wenyewe maoni ya watu online juu ya Land Rover. Google is free.
View attachment 1642020
View attachment 1642021
View attachment 1642022
Acha kabisa mkuu
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.
Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Hizi picha nimeweka 05/12/2020 miaka minne baada ya comment ya juu ili mjionee wenyewe maoni ya watu online juu ya Land Rover. Google is free.
View attachment 1642020
View attachment 1642021
View attachment 1642022
Hiyo ni freelander oneChuma hiki hapa. View attachment 2476866
GLS ni moto mwingine kakaGari baya kinoma sijui linapendewa nini,bora MB GLS 63 mara elfu kuliko hio G Wagon.
Hii Landrover unaeeza visha engine ya Noah?Chuma hiki hapa. View attachment 2476866
Ile ya cc 2700 sio discoveryukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi
Hivi mkitembea barabarani huwa mnavutanaApo ni vitu viwili tofauti, hiyo moja ni p/up na nyingine ji station wagon,kila moja inatamba kivyake,ndio maana nikasema Amarok ni kaka mkubwa wa p/ups,iko clip moja niliiona disc3 na prado zilikuwa zinavutana kila upande,prado ikawa inaburuzwa tuu mpaka aibu
Range Rover p38 ,1998 yom, kununua na kuitoa bandarini ushuru nk Ni Kama 25milion v8 Safibobtony Mungu ni mwema utapata tuu na pia zinapungua bei kila miaka inavyokwenda ila Disco 3 sio ghari ni rand 100,000 mpaka 150,000 kama Tsh 16,000,000 kununua tuu mpaka 20milion ila kodi ipo 24milion kwa boda maana hakuna gharama za bandari na viingereza vingine tena na ya 2005 model mpaka 2007 model ndio zipo bei hizo mbele zaidi zipo bei juu...
Scraper ya mwaka 1998 nanunua napeleka wapi Mkuu...Range Rover p38 ,1998 yom, kununua na kuitoa bandarini ushuru nk Ni Kama 25milion v8 Safi
Range Rover sport 2007 Kama 37m ukiagiza mwenyewe na k clear Kila kitu tenga 40m
Ile ya cc 2700 sio discovery
Hizi Land rover alizopanda Mwalimu mpaka kesho zipo Uyole zinashusha kabichi..109,110 na ndugu zake hapana mkuu labda uzungumzie kitu kingine hata hizo disco ni kwamba watu wananunua zilizotembea sana kwa sababu ya kulipa kodi ndogo mbona wenzetu Wakenya wanatumia matakataka yeyote ila ya miaka ya karibuni sijui mpaka Chevrolet grazer wanazo mjini...Land rovers are known worldwide for unreliability. Hiyo ndo sifa yao kuu. Nishamiliki moja I know all about it. Google is free ujionee mwenyewe ni gari gani mbovu zaidi.
Hizi Land rover alizopanda Mwalimu mpaka kesho zipo Uyole zinashusha kabichi..109,110 na ndugu zake hapana mkuu labda uzungumzie kitu kingine hata hizo disco ni kwamba watu wananunua zilizotembea sana kwa sababu ya kulipa kodi ndogo mbona wenzetu Wakenya wanatumia matakataka yeyote ila ya miaka ya karibuni sijui mpaka Chevrolet grazer wanazo mjini...
Mkuu punguzeni kutisha watu bhana nilibadili ntarudi tena kwenye discovery ya 2008 mpaka 2010 nilitumia 2006/2007 ilikua poa tu mpaka nikaamua kuuza mimi magari nazingatia muda iliyotumika kama nimeipata kwenye hali nzuri najua sitasumbuka naenda mwenyewe kununua SA...mwaka 2002 miliwahi leta Honda Ballade ilikua auto nilishindwa kuuza kisa wanasema automatic baadae zilivyoanza kujaa wakawa wanaitaka wakati ilishaashwa kwa ajili ya famili wao walikua wanataka 504 na 505 tumieni magari mazuri ya miaka ya karibuni muondokane na hizo kadhia nimetamani Audi Q 3 au Q 5 bei SA wanauza sawa za mwaka mmoja 2012 au 2010 mimi huwa nanunua na sipati huo usumbufu wenu wa mtandaoni...Hapo chini wamegusia kwanini LR za zamani zilidumu na za sasa ni town divas. Haya sio maneno yangu ni watu wanaofanya hizi kazi for a living.
Range Rover named most unreliable used car by WarrantyWise
Land Rover Range Rover is the most unreliable used car. According to the latest figures released by Warrantywise’s annual Reliability Index, Land Rovers, Bwww.motortrader.com
Home - 4-Wheel Drive Guide
A starter guide to 4-wheel drives, Off-roading, and Customizing.4wheeldriveguide.com
The Verdict on Land Rover’s Reliability
Land Rover is not the brand for you if you want solid reliability.
Once upon a time, Land Rovers were built like a tank and applauded for their off-roading chops. They were once used for towing trailers and other heavy equipment. Unfortunately, those days have passed, and now, Land Rovers still struggle when it comes to reliability. Nowadays, Land Rover vehicles are synonymous with luxury and high price points – not so much in reliability.
Are Land Rovers Reliable?
But once the cameras stop rolling, are Land Rovers Reliable? Can they handle daily trips to the office through the suburbs let alone the wilderness? The short answer is no, Land Rovers are not reliable cars. Their design is iconic and the interior of a Rover is the height of luxury, but their...www.copilotsearch.com
Mkuu punguzeni kutisha watu bhana nilibadili ntarudi tena kwenye discovery ya 2008 mpaka 2010 nilitumia 2006/2007 ilikua poa tu mpaka nikaamua kuuza mimi magari nazingatia muda iliyotumika kama nimeipata kwenye hali nzuri najua sitasumbuka naenda mwenyewe kununua SA...mwaka 2002 miliwahi leta Honda Ballade ilikua auto nilishindwa kuuza kisa wanasema automatic baadae zilivyoanza kujaa wakawa wanaitaka wakati ilishaashwa kwa ajili ya famili wao walikua wanataka 504 na 505 tumieni magari mazuri ya miaka ya karibuni muondokane na hizo kadhia nimetamani Audi Q 3 au Q 5 bei SA wanauza sawa za mwaka mmoja 2012 au 2010 mimi huwa nanunua na sipati huo usumbufu wenu wa mtandaoni...