Land Rover Discovery 4 - Mega thread

I agree kuwa Mjerumani ana magari mazuri ila si kwamba mjapan amepitwa sana na technology. Nadhani waangalia/wanalenga masoko tofauti. Huwezi kulenga soko la Afrika na Asia ukatengeneza gari ya gharama kubwa

Yeah nikwel
 
Discovery 4 is the best off-roader in the world. Hata gari za Toyota zinasubiri hapo. Gari ina speed na ina balance.

Fuel consumption ni nzuri hasa ukichukua diesel option. Kwa Tanzania spares zipo nyingi sana ila sikushauri uweke zile used.
Acha utani mkuu! Discover 4 inaweza kusimama na Land Cruiser 200 series au Nissan Patrol kwenye off road
 
disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
Millioni 37 na nusu Affordable kabisa
 
Apo anataka kusema Coca ya Nyanza na BONITE zina ladha tofuati...[emoji23][emoji23]
 
Mkuu....Uyu mdudu huwa ananinyima usingizi sana
 

Attachments

  • Screenshot_2018-10-27-19-53-54.jpeg
    64.9 KB · Views: 200
Wadau nimevutiwa sana na Landrover Discovery 3, diesel engine, naomba ushauri wenu hasa kwa mazingira yetu ya hapa Tanzania, nataka kuagiza kutokea South Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Land Rover Discovery 4 kutoka Befoward japan used Car mnaziongeleaje wakuu? nataka kuagiza uko kwakuwa nimeona bei zake zinashabiriana na za south Africa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Eti Na Mimi Nisiyejua Magari Nae Nafungua Thread Hii Nakuisoma Wakati Sina Cha Kucomment Wala Kulike Mwisho Naishia Kusoma Comments Za Wanajamii Huku Nikijiaminisha Kuwa One Day Yes Nami Ntayajua Na Kuyafanyia Uchambuzi Yakinifu
EEH MWENYEZI MUNGU NIBARIKI MWAKA HUU WA 2019 UWE WA MAFANIKIO KWANGU
 
Mdau...shwari...? 2019 dis 4 disel option linapatikana kwa bei gan huko bonden?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam naam kamanda.
 
Siyo kwel hayaalibiki kila siku ni gari ambazo zinadumu sana ila ikisumbua ndo mtihani kuhudumia hiyo gari ni sawa na kuhudumia familia tano kwa siku ila ni gar kali inadumu na ni ya heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…