Land Rover Festive Arusha 2024

Sina uhakika kama Arusha inaongoza kwa watu wanaopenda Land Rover, lakini hata kama ni hivyo je Kigoma wafanye Treni Festival??
 
Bata tu lakini haina tija yoyote hiyo festival yaani ni kama sub-royal tour tu Arusha inapigiwa promotion kwa Watu wenye hela zao waje kuuziwa. Refer Royal Tour maeneo yaliyotangazwa kwenye ile filamu yote yameshauzwa
This parade is set to become the longest pared with 12km
 
This parade is set to become the longest pared with 12km
Arusha inapigwa Mnada hapo usitake kupindisha mjadala, walianza na kwa Masai na hiyo inaenda iwe City Centre yao sijui Waarabu sijui watu gani 🤣🤣🤣
 
Achana na uelewa

Jina la Event linaitwa Landrover Festival

Hilo ndilo jina lake huwezi geuza ukaita Landrover Parade jina mtu anayeitwa Landrover Festival

Kiutangazaji haiko sahihi
Jumatatu wanaingia Arusha National park
 
hapo mi chadema imenunaaaa MAKONDA anazidi kupeta tu wenye roho mbaya na makonda wajifie tu kama wanachukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…