land-rover mkombozi wa enzi wa usafiri afrika

land-rover mkombozi wa enzi wa usafiri afrika

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
lon6.jpgSpotted in Gauteng somewherelon5.jpg Spotted in Mbeya, Tanzania. July 2005...

Adriaan_Coetzee_Zam.jpg Spotted in Western Zambia somewhere. July 2005lon7.jpgSpotted at Mosi-oa-Tunya N/P, Vic Falls, Zimbabwe. December 2005...

lon.jpgSpotted in Zimbabwe somewhere. November 2005...
lon3.jpg Spotted near Morgans Bay, Eastern Cape. March 2006...

lon4.jpg Spotted in North Africa en route to Mauritania somewhere. October 2005...
lon2.jpg Spotted in Ponta Malongane, Mozambique. December 2005...
 
Ni kweli hizi Landrover 109 zilikuwa makini.Zikaja 110 ambazo ni biashara tu,na zilikuwa zinakula mafuta vibaya sana.
Pamoja na hiyo 109,kulikuwa na lori la Bedford!

Sijiu kama Britain bado wanatengeneza hizi model hizi tena.
 
mandolini bana ile ndo gari. kuna ile version walikuwa nazo polisi na jeshi, accelerator ilikuwa ya mkononi, nakumbuka dingi yangu alikuwa nayo longtime kishenzi. wakati ule ndo zilikuwa gari za kutokea, pamoja na peugeot na range rover wakuu wa mikoa ndo zilikuwa gari zao
 
hizo gari ngumu sana lakini 109naona gari ni dayosisi ya Mbeya sasa ziko juu ya mawe
 
Back
Top Bottom