Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliyolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lakini they are not good in management, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?