Burundi,Rwanda,Congo,Kenya wanatoa uraia,hameni muende kwenye hizo nchi za waelewana unafikiri tanzagiza is any different?
Wanakuchelewesha kivipi,ukiwalinganisha na nani?Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?
"Wasimamizi" tuliowateua kuzilinda kwa faida ya vizazi vijavyo ndio wamekuwa madali wa kuziuza!DRC na Tanzania ni nchi zenye raslimali nyingi! Ila kwa bahati zimekosa wasimamizi makini, na hivyo kuruhusu wenye akili kujibebea tu wapendavyo.
Jama ukaishi kongo, somalia au sudan nafasi unayo, tuache na T.Z yetu.Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?
Isiyowapenda watu intelligent !Unasaidia Wapinzani ili washike hatamu na kuiondoa Serikali ya Kivivu.
Umesema ukweli sana! Tanzania ni ya hovyo sana. Ccm na mwenge? Nchi kibao zinatutegemea ila tunawaangusha sana!Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?
Huna haja ya kumuamsha aliyelala. Wewe Hamia kwenye nchi iliyoku-block au jirani yake kama ana bandari.Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?
Kuimarisha huduma ya anga, ardhi kupitia reli na barabara kama kuna njia ya kuchepukia kwenda nchi unazo kusudia.Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliyolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lakini they are not good in management, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa?
Huna haja ya kumuamsha aliyelala. Wewe Hamia kwenye nchi iliyoku-block au jirani yake kama ana bandari.
Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliyolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lakini they are not good in management, kwa maneno mengine wanakuchelewesha kwani unawategemea kwa outside trade, utafanya nini?
Which options do you have kama wanakulaza njaa.
https://jamii.app/JFUserGuide metaphorit’s a metaphor …
Fvck metaphorit’s a metaphor …
Power corrupts. Tukikupa uraisi wa Tanzania leo, kesho hayo yote uliyoyandika hapa utayasahau na kuanza kufisadi kodi zetu.Kama ni nchi kama Tanzania basi hagua Amiri Jeshi mkuu kama Majaliwa au Lisu au Mwabukusi au Mwakyembe au Mpina au Gwajima. Peleka VIJANA wenye Elimu ya Kati wakajifunze kwenye nchi zzilizofanikiwa kwenye Bandari .
Kisha AJIRI VIJANA WAZALENDO NA UWEKE MSIMAMIZI MZALENDO KAMA Polepole au Paulo Makonda au John Heche.
Punguza Kodi na Weka ushindani wa ufanisi kwenye Bandari za Mtwara ,Tanga,Dsm na Mtwara. Toa bonas na zawadi Kwa watakaofanya Kazi Kwa ufanisi na Kwa haraka na kuongeza mapato.
Achana na Imani ya kuuza Bandari na kugawana mapesa na Wageni wakati watu wako wanakosa ajira.
Hadi keshokutwa bado najiuliza kitu gani kinafanya watu wamuone K anafaa kuwa namba 1?Kama ni nchi kama Tanzania basi hagua Amiri Jeshi mkuu kama Majaliwa au Lisu au Mwabukusi au Mwakyembe au Mpina au Gwajima. Peleka VIJANA wenye Elimu ya Kati wakajifunze kwenye nchi zzilizofanikiwa kwenye Bandari .
Kisha AJIRI VIJANA WAZALENDO NA UWEKE MSIMAMIZI MZALENDO KAMA Polepole au Paulo Makonda au John Heche.
Punguza Kodi na Weka ushindani wa ufanisi kwenye Bandari za Mtwara ,Tanga,Dsm na Mtwara. Toa bonas na zawadi Kwa watakaofanya Kazi Kwa ufanisi na Kwa haraka na kuongeza mapato.
Achana na Imani ya kuuza Bandari na kugawana mapesa na Wageni wakati watu wako wanakosa ajira.