Landlover inauzwa bei poa

Landlover inauzwa bei poa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Gari ya kazi inauzwa kama unavyoiona katika picha. Ina injini ya diesel.
Nzima inatembea ipo katika hali nzuri. Bei yake 4.5mil. Inapatikana Dar es Salaam. kwa maelezo zaidi tuwasiliane.
0717114409
 

Attachments

  • PIC00287.JPG
    PIC00287.JPG
    54.8 KB · Views: 226
  • PIC00289.JPG
    PIC00289.JPG
    71.7 KB · Views: 170
Aisee Kitomai ee ..hii gari imetembea kilometa au maili ngapi? Je una picha za ndani? Ya mwaka gani? Mimi hizi 110 nazizimia sana hivyo naweza kukupa deal!!
 
yap yap yap.....umeamua kutusogezea yard ndani ya JF. Ungeanzisha thread moja halafu magari yote uwe unayapanga hapo, mtu akiingia anapata nafasi ya kuyaona yote na kuchagua analohitaji. Pia ungeweka link ya kwenda kwenye website yako...maana mzee unaonekana ni dalali na umeingia JF kwa kazi hiyo tu si vinginevyo
 
Ukiwa kuna mtu unamjua anahitaji kununua magari niliyoyatangaza ukamwambia akanunua utapata kamisheni. karibu sana
 
Ile starlet vipi ushachukuliwa..? Kuna mtu jioni hii alikuwa aliniulizia ana 4.0 m
 
yes iwant to sell my MARKII CHASER GX 100 (4CYL) so that i buy one 109
 
Mkuu hii naona kama Landlover Defender 110 hii sio kama ile inayo tafutwa ya kizamani 109.

Bado hujanipata mkuu , gari yenye tradenark ya LANDLOVER bado sijaiona.Nililolona tayari ni LANDROVER kuanzia series 88,90,108,109 na sasa 110
 
kwa hiyo anaweza kupata Toyota Corola
 
109 kama ipo iweke hapo ubaoni tuongee biashara
 
Tuwekee picha za ndani. System zote zinafanya kazi? Vipi kuhusu 4 wheal?
 
Bado sijajua kwa nini hili Gari Linauzwa Mil 4.5, but why!?, mbona mi naona hali yake mbaya sana? au ni macho yangu.

Embu nisaidieni,
B.
 
Wakulu nataka kuibana caser ninunue 109 kwa ajili ya kilimo kwanza....!
 
bado sijajua kwa nini hili gari linauzwa mil 4.5, but why!?, mbona mi naona hali yake mbaya sana? Au ni macho yangu.

Embu nisaidieni,
b.

gari yenyewe inauzwa 1.5 na hizo nyingine ni za mtafuta wateja mzee, si unajua tena....
 
Back
Top Bottom