mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nipo tayari kuitwa mshamba, nimezaliwa nimeikuta landrover 09 na hadi Leo IPO kule kijijini, lakini landrover discovery, defender ni mbovu sana trip pori trip gereji wapi watengenezaji wanakosea sasa, kifupi napenda brand najiona kutafta rover 09 tena siku za usoni, wapi ntakuwa nimekosea