LANDROVER 110 - 300 SERIES INAHITAJIKA!!!

LANDROVER 110 - 300 SERIES INAHITAJIKA!!!

Mawio

Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
54
Reaction score
23
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Kama una bodi pekee pia tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo.

Shukrani.
 
Ongeza ongeza kidogo.. Kuna jamaa wanazo.
 
Mkuu Mgibeon, si unajua tena mambo yalivyokaza Mkuu, natafuta hio kwa ajili ya kazi za shamba Mkuu!!!..

Cheers,

🙂🙂!!!..
Ngoja nipitie kule halafu nitakupa feedback.
 
Back
Top Bottom