Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

Mawio

Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
54
Reaction score
23
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Kama una bodi pekee pia tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo.

Shukrani.
 
Weka picha yasample tuu tuione maana kitambo midogo
 
1546857766563.png


inayo ngolewa kama hii mkuu
 
Samahani kwa kuingilia uzi wako.Kwa Bajeti hiyo hiyo kama kuna mwenye nayo anaweza nicheki Pia..
 
Samahani kwa kuingilia uzi wako.Kwa Bajeti hiyo hiyo kama kuna mwenye nayo anaweza nicheki Pia..

Mkuu Kapolo.

Lengo la uzi huu ni kuwaleta pamoja wadau wenye nia/lengo mmoja, kwa hio hoja yako inaangukia kwenye lengo la uzi Mkuu.

Tuko pamoja ndugu yangu.

Shukrani,

¬Mawio 🙂🙂!!!..
 
Back
Top Bottom