Hello GT.
Naona hizi model mbili za Landrover zipo safi sana .Nafikiria sana kwanini matajiri wa Tanzania hawazipendi kuzinunua Au zina shida ? Kwa ndani utafikiri uko kwenye ndege ,Zipo chache sana nazionaga barabara Kwa hapa Moshi sijui Kwa Dar na Mwanza .