Landrover discovery 3 na 4

Landrover discovery 3 na 4

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello GT.
Naona hizi model mbili za Landrover zipo safi sana .Nafikiria sana kwanini matajiri wa Tanzania hawazipendi kuzinunua Au zina shida ? Kwa ndani utafikiri uko kwenye ndege ,Zipo chache sana nazionaga barabara Kwa hapa Moshi sijui Kwa Dar na Mwanza .
 
Matajiri wanapenda Vogue/Range Sports ila kuna baadhi ya matajiri wanazo kwa mfano Sheta,Gadner G Habash etc.
 
Back
Top Bottom