Landrover Discovery na Majanga ya Moto

Landrover Discovery na Majanga ya Moto

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,475
Reaction score
5,290
Salaam Wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari.
Wataalam kina JituMirabaMinne toeni maoni.
IMG-20220327-WA0032.jpg
 
Mkuu hadi sasa tangu June Mwaka Jana... Nimekutana na hayo Magari zaidi ya Sita yote yakiwa yanaungua Barabarani... Moja pale Kawe karibu na NHC project Matatu njia ya Dar-Mbeya, Mawili njia ya Dar-Arusha
Una Nyota ya Moto wewe, Sio bure, haiwezekani ukutane na gari 6 zikiungua kwa kipindi cha miezi 9.

Hiyo sio kawaida hata kidogo
 
Salaam Wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari.
Wataalam kina JituMirabaMinne toeni maoni. View attachment 2166473
Aiseee mpaka nineshangaa kwanini sijawahi kukijua hiki kitu wakati mpaka LR wenyewe walishafanya recall ya gari kibao aina ya Land Rover Discovery 4 kuanzia 2010 mpaka 2016 na Range Rover Sport kuanzia 2010 mpaka 2013.

Main reason inaonekana ni Ile Flange ya kwenye fuel tank ambayo ndio inakuwa na inlet waya za umeme na outlet ya mafuta huwa ina crack au seal kufa over time na hivyo mafuta kuanza kuvuja.

Shida inakuja pale mtu anapochelewa kunotice.

Ndo mwisho wa siku gari inaishia kwenye moto.

Angalia video hiyo.

Nilishuhudia Disco 4(HSE) ikiungua mwaka 2016 wkt wananchi wanataka kuiokoa Gari kwa michanga/maji mwenye Gari akasema nahitaji kuokoa briefcase yangu tu humo garini.Walifanikiwa kuitoa hio briefcase,then akawaambia wananchi acheni hio Gari msihangaike kuizima Moto(Jamaa akachukua video kidogo kwa kutumia simu,then akapiga Simu).

Gari iliteketea ikaisha,baadae akaja mwanamke flani na Prado ZX akambeba msela wakasepa zao.
 
Ukisema tu ulikuwa ni wewe kuna shida gani mzeee 😀😀😀
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aiseee mkuu,mimi Nilikua mpambe wa kusaidia kuzima gari ya Watu na michanga tukaishia kuambiwa tu 'msijali gari linaweza kutafutwa jingine Kitu Cha msingi ni usalama wenu tu.'
Usalama huku kawatuma watu wakachukue mkoba wake... 😀😀😀😀 pesa nzuri angekuwa gari ya mkopo angepambana aizime kwa kila namna
 
Aiseee mpaka nineshangaa kwanini sijawahi kukijua hiki kitu wakati mpaka LR wenyewe walishafanya recall ya gari kibao aina ya Land Rover Discovery 4 kuanzia 2010 mpaka 2016 na Range Rover Sport kuanzia 2010 mpaka 2013.

Main reason inaonekana ni Ile Flange ya kwenye fuel tank ambayo ndio inakuwa na inlet waya za umeme na outlet ya mafuta huwa ina crack au seal kufa over time na hivyo mafuta kuanza kuvuja.

Shida inakuja pale mtu anapochelewa kunotice.

Ndo mwisho wa siku gari inaishia kwenye moto.

Angalia video hiyo.

Hii case ni Kwa matoleo ya kutumia Diesel au Petrol
 
Yawezekana Ilikuwa ina vuja mafuta,
Au Ilikuwa na shida ya umeme,
Pia gari kupata joto
Hayo mambo 3 husababisha gari kuwaka moto

Ova
 
Ni tatizo common kwa hizi models, linajulikana kama alivyosema [mention]JituMirabaMinne [/mention] hapo juu
 
Back
Top Bottom