JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Petrol.Hii case ni Kwa matoleo ya kutumia Diesel au Petrol
Diesel hata mafuta yamwagike vipi si rahisi gari kuwaka moto.
LR za diesel pia naona zipo ambazo huwa zinapiga shoti na kuwaka moto.
Nazo kuna matoleo wameshafanya recall.