Mkuu hadi sasa tangu June Mwaka Jana... Nimekutana na hayo Magari zaidi ya Sita yote yakiwa yanaungua Barabarani... Moja pale Kawe karibu na NHC project Matatu njia ya Dar-Mbeya, Mawili njia ya Dar-Arusha
Acha tu nibakie na kigari kangu kakimasikini (IST) maana kalikauka coolant wala hakijaleta shida kikubwa ilikua nikiwasha kanazima... Wakati huo ndo kwanza nakamiliki sijui mbele wala nyuma.