LandRover Festival 2024 rasmi imevunja rekodi ya Mjerumani

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024.

Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover yamehudhuria tamasha hilo, huku zaidi ya watu 2,000 wakikuhudhuria ufunguzi na kushiriki tukio hilo.

Guinness World Record iliyowekwa na Ujerumani kwa kuwa na msafara mkubwa zaidi wa magari ya Land Rover. Rekodi ya sasa ilivunjwa huko Bavaria, Ujerumani mnamo Agosti 2018, ambapo magari 632 ya Land Rover yalishiriki kwenye msafara huo.

Soma Pia:
Landrover Festival imekuwa fursa ya kuonyesha magari hayo maarufu kama off-road, ambayo yana historia kubwa katika nchi za Afrika Mashariki kwa kuwa yamekuwa yakitumika tangu enzi za ukoloni.

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi hili tukio lina faida gani kwa nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…