Sawa-sawa!!
Binadamu walio wengi nadhani ni kama tabia wachache sana watakao kupongeza kwa jambo flani,sifa nyingi utazipata ukisha potea dunia hii, japo ulistahili ukiwa bado hai.
Sikiliza ngoma ya Nikki Mbishi
"Usisubiri"
Marashi ya isymiati...ukinicheki msafi...chokoza uone moto.sitoke masaki natokea king'okoR.I.P Langa dah
Ukinicheki ......chokoza uone moto
Sitokei Masaki natokea King'oko
Kweli maisha yenyewe mafupiSimsumbui mtu mm na starehe zangu maisha yenye mafupi sijui tarehe yangu
Ebwana kumbe ndo hivo.?E jamaaaani, yaani kafa siku ya wasanii kwenda kuonana na makonda mahakamani??
wimbo gani huu mkuuHii mistari imenifanya nimkumbuke sana Langa
......
......
Sio swala la uoga,Kuogopa ukunguru
Ila bora Kulogwa kuliko kukosa uhuru
Wapi sheikh Mponda,wapi jenerali Komba?
Sera Kali serikali cheza mbali na wajomba
Kimbia,Mitihani imevuja nyie hamjasikia.?
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa.?
Kimbia,NCHI IMESHAUZWA HII HAMNA KUSIKILIZIA,
TANESCO,MADINI hadi AIR TANZANIA
Watoto wa uswazi hawana matumaini
Ndoto za ujambazi sababu ya umasikini
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu
Makahaba wa miaka 13
Ngoja niishie hapa ila kama huu wimbo ungetoka 2017 sasahivi tungekuwa tunampelekea chakula segerea.
mwenyezi mungu amlaze anapostahili Amin
uhongo kafa tarehe 13 mwenzi wa 6 kama sikosei vileKweli maisha yenyewe mafupi
Ebwana kumbe ndo hivo.?
Dah... Mkuu ni ngoma ni hatari na aliongea fact sanakuna nyimbo yake kifo, jela au taasis nayo ni nyimbo kali sana aliyofanya
Wimbo "Kimbia"wimbo gani huu mkuu