Langa tutakukumbuka Daima

Langa tutakukumbuka Daima

Chidi benz,na wasanii wote wasioheshimika saiv ipo siku nao watapata heshima nzuri nzuri na sifa kede kede kama Langa.
Chid nyimbo zake za Natubu (2005) na Umenisoma (2007) ni track za maana sana, mistari ya humo ndani ilikuwa imejaa ukweli na ilikuwa ni ya akili sana...
 
Chid nyimbo zake za Natubu (2005) na Umenisoma (2007) ni track za maana sana, mistari ya humo ndani ilikuwa imejaa ukweli na ilikuwa ni ya akili sana...
Natubu aliitoa 2005 ???

From profile picture to proper future
 
Kitaa wananiamini kama kiongozi wa dini,ukitaka kumficha mwafika weka ujumbe kwenye vitabu mie natumia mziki kufika ujumbe kwa watu,usitembee pekupeku bila kuvaa viatu.

Jamaa anajua sana Nilianza kuvaa khaki kabla ya Dr Slaa.
 
Shukrani kwa nyerere kuendeleza kiswahili mikoani na mbelembele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele kiingereza bila hela ni sawa na kupiga kelele.

Na flow kwa kiingereza na flow kwa kiswahili hata JIGGA haniwezi na flow kwa lugha mbili.
 
Rushwa umaskini vita vya kidini,
Hivi ni lini Africa tutapata tiba ya Ukimwi.

Wezi wa punje za wali wanapigwa matofali,
Majambazi wa kalamu wanalimbikiza mali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
R.I.P Langa though my best song kutoka kwake ni "Rafiki wa kweli"
 
Back
Top Bottom