sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Chid nyimbo zake za Natubu (2005) na Umenisoma (2007) ni track za maana sana, mistari ya humo ndani ilikuwa imejaa ukweli na ilikuwa ni ya akili sana...Chidi benz,na wasanii wote wasioheshimika saiv ipo siku nao watapata heshima nzuri nzuri na sifa kede kede kama Langa.