Lango la kuzimu Selander Bridge

Lango la kuzimu Selander Bridge

Hapana, siyo lango la kuzimu.

Hiyo ni njia ya kuelekea jiji la majinni ya bahari.

Hapo kiasili paitwa "maji mshindo".

Sehemu zote zinapokutana mto na bahari ni lango la kwenda kwenye miji ya majinni ya bahari, kwa wenye kuelewa.
Sahihi kabisa wataalamu wa mambo wanasema hapo kuna portal inayo connect planet earth na planet Venus.

Planet Venus Ndipo yalipo makao makuu ya majini.

Kwa kutumia njia ya kawaida( kurusha chombo angani) inachukua siku 109 ( miezi mitatu) from Earth to Venus lakini hapo Selander kuna njia ya mkato ambayo huchukua dakika 5 kutoka Earth kwenda Venus( kwa kutumia maarifa ya kijini)

Physical planet earth Ndipo yalipo makao makuu ya majini wanao ishi katika mfumo wetu wa jua ( Solar system)

Wafalme wa kijini wa planet Venus wanatawala baadhi ya sehemu za dunia kutokea planet Venus.

Binadamu wanapaita Kuzimu lakini kiuhalisia ni Planet Venus.
 
majinni wapo popote, wamezagaa kila sehemu, ni viumbe walio kwenye "axis" yao. Makundi mengine ya majinni ni katika sisi binadam.

Mfano hapa JF, wote tunaoingia kwa ID ambazo si za uhalisia wetu, tu katika kundi la majinni.
 
Nikuulize swali? Majini wana umbo gani?
 
Back
Top Bottom