LAPF- Piga kitabu bado haitawasaidia wananchi wa kawaida

LAPF- Piga kitabu bado haitawasaidia wananchi wa kawaida

Prevo star

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
83
Reaction score
28
[h=4]Haya ni baadhi ya masharti kwa wanaotaka kuomba mkopo LAPF.

Education Loan
[/h] The Fund recently launched the education loans scheme to help it members planning to pursue higher education in the country. LAPF have realized that some of its members aspiring to pursue further education could not do so mainly due to inability to raise the fees.
The loans will be given to any member who applies, provided they meet the set criteria.

  • A member must have contributed to the Fund for a period of two years or more.
  • Loan amount shall be equal or less than 75% of his contributions to the Fund.
  • A member must also have admission into a Tanzanian higher education institution recognized by the Tanzania Commission of Universities (TCU) or the National Accreditation Council for Technical Education (NACTE).
  • The member must also have permanent employment
 
if I' m a farmer and i have admited TCU can loans be given to me.
 
Dhumuni ni kusaidia wanachama wa LAPF wanaotaka kuendelea na masomo ya elimu ya juu,sioni ugumu wa masharti hapo kila kilichowekwa kina sababu za msingi kwa maslahi ya pande zote mbili mfuko na mwanachama mfn permanent employment inawapa LAPF security ya mkopo wanaokupa.
 
pspf ndo wamechemka kabisa,nilienda kuulizia maana na wao wamezindua hiyo kitu,nikahudumiwa na dada mmoja akanimbia eti inawahusu wanaochangia kwa hiyali,nilichoka
 
Dhumuni ni kusaidia wanachama wa LAPF wanaotaka kuendelea na masomo ya elimu ya juu,sioni ugumu wa masharti hapo kila kilichowekwa kina sababu za msingi kwa maslahi ya pande zote mbili mfuko na mwanachama mfn permanent employment inawapa LAPF security ya mkopo wanaokupa.

Bado kuna shida Security ya nn ilihali una uhakika atapata Kazi?
Kwa nini tusimwekee Life Insurance?
 
NIMeliona lile tangazo lao la kutangaza hiyo huduma ya mikopo ya elimu. kiukweli halina mantiki yoyote. kusema kwamba mtu akikabiliwa na kazi nyingi basi aende chuoni kusoma ili apande cheo alafu awe anakaa tu bila kuendelea kufanya kazi kwa bidii ni upuuzi. badilisheni tangazo
 
Lile ni tangazo la kijinga sana!
 
Bado kuna shida Security ya nn ilihali una uhakika atapata Kazi?
Kwa nini tusimwekee Life Insurance?

Unapata uhakika gani kua uliemkopesha lazima atapata kazi,kuna vitu havihitaji nadharia kumbuka wakati unakopeshwa pia kuna wanachama wanaodai mafao yao mbalimbali ivyo ukitoa bila kua na uhakika wa kulipwa mfuko unakosa sustainability kitu ambacho kinafanya mfuko uendelee kupumua,alafu kumbuka mikopp kama ya elimu ni vitu vya nyongeza vya mifuko kuvutia wateja sio kitu cha lazima ivyo kufirisika kwa ziada ni uzembe wa hali ya juu.
 
Wadau nisaidieni kitu hapa....
Kwa mwanafunzi ambaye ni special from school yaan hajawai hata kuifaham tin namba wala mkataba wa kazi na kulingana na masharti yaliopo hapo juu . je anaweza vp pata huo mkopo?
 
Wao wanakopesha wanachama wao, yaani ni kama motivation au incentives kwa members wao. So hauto-qualify for such kind of loan.
 
permanent employment? during contribution do they ask their members if they have a permanent or temporary employment?
 
Wakuu kama una vigezo vyote vya kupata mkopo,je marejesho ya mkopo ni kwa kutumia mfumo gani?
 
Wanafanya biashara na sio kutoa msaada thats y vigezo vinakua vigumu kuhakikisha wanufaika ni wachache na wenye uhakika wakurudisha mkopo huo.
 
Back
Top Bottom