Huu ni ujinga mwingine kwa wa Tzn kuwa na wishful thinking kwa miradi ya Kenya na kuombea yao ifeli,wako mbele sana kimiundombinu tena strategic na wanaonyesha progress,sie tuko bize tunakomaa nao wakati kwetu kwa sehemu kubwa tuna miradi ya makaratasi miaka na miaka.Kwa kuwakomalia wakenya tunazidi kuwapa ari,nguvu na speed ya maendeleo zaidi.Watu mmeacha kujadili hoja ila mipasho ya taarab,nonsense.Mbona sie wa Tzn hatuelezi lini barabara za mtwara songea,songea morogoro,s/wanga kigoma nyakanazi,tabora mbeya/mpanda,mbeya singida,tabora kigoma etc zitakamilika lini? Hapo sijataja miradi ya reli,kuna watu mnaujasiri wa kupinga ukweli aisee