Huyu jamaa ameongea vizuri sana. Hamuwezi kucompete na Bandari ya Mombasa ikiwa mnacharge pesa nyingi kwa kila container kushinda bandari la Mombasa. Itabidi mpunguze bei ili muwe competitive na bandari la Mombasa. Mimi nakubaliana na yeye kabisa. Mumefanya vizuri kupunguza tozo na amesema kwamba bado tozo ipo juu na mtapunguza zaidi. Basi hamna budi ila kupunguza tozo ikiwa mnataka kucompete na Mombasa port ambayo ndio King wa Eneo hili.Mshindani wa bandari ya Mombasa
Ofcourse new entrant in a market lazma aanze na promotions kuvutia wateja ukumbuke bandari ya Tanga ilikuwa kwa ajili ya sisal n coffee exports miaka hiyo! So now a revival of the port through Uganda's crude oil export is imminent! even sisal farming is back!Huyu jamaa ameongea vizuri sana. Hamuwezi kucompete na Bandari ya Mombasa ikiwa mnacharge pesa nyingi kwa kila container kushinda bandari la Mombasa. Itabidi mpunguze bei ili muwe competitive na bandari la Mombasa. Mimi nakubaliana na yeye kabisa. Mumefanya vizuri kupunguza tozo na amesema kwamba bado tozo ipo juu na mtapunguza zaidi. Basi hamna budi ila kupunguza tozo ikiwa mnataka kucompete na Mombasa port ambayo ndio King wa Eneo hili.
Hahaha. Eti sasa mumeanza kutunyang'anya mizigo ya kwenda Rwanda. Lakini bado mna mwendo mrefu kutufikia.
Tanga port imechukua mzigo wa Mombasa wa clinker!Hahaha. Eti sasa mumeanza kutunyang'anya mizigo ya kwenda Rwanda. Lakini bado mna mwendo mrefu kutufikia.
Sasa next step nawapa advice, Mkataze Watanzania wote kutotumia port of Mombasa. Hususan wale wanaoishi Northern Tanzania, Arusha, Kilimanjaro n.k.Tanga port imechukua mzigo wa Mombasa wa clinker!
Mbona tayari wamerudi wenyewe baada ya MGR Tanga-Arusha kufufuliwa!Sasa next step nawapa advice, Mkataze Watanzania wote kutotumia port of Mombasa. Hususan wale wanaoishi Northern Tanzania, Arusha, Kilimanjaro n.k.
Hahaha!!MGR ndio iwashtue wafanyibiashara wakubwa wanaojali mizigo yao kw hali na mali.Mbona tayari wamerudi wenyewe baada ya MGR Tanga-Arusha kufufuliwa!
Bado yule kenge atakuja kupingaNa evidence kwamba video yenyewe ni ya 2015 ndio hii hapa.
View attachment 1702099
Hahaha hio nyangumi hua inapinga kila kitu hata evidence. Yeye haheshimu evidence. Yeye na ichoboy01 wako hivyo.
|
|
|
| The Heads of State laying the foundation stone for the administrative building of the port | President Kibaki leads his colleagues in planting a tree |
|
|
|
| The Three Heads of State read the placard that commemorates their joint launch of LAPSSET. | President Salva Kiir, President Kibaki and Prime Minister Zenawi salute the crowds after the launch of LAPSSET |
|
| |
| The Three presidents raise their national flags |
|
|
|
| Aerial view of the proposed Lamu port site | The routing of the corridor |