LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Mshindani wa bandari ya Mombasa

Huyu jamaa ameongea vizuri sana. Hamuwezi kucompete na Bandari ya Mombasa ikiwa mnacharge pesa nyingi kwa kila container kushinda bandari la Mombasa. Itabidi mpunguze bei ili muwe competitive na bandari la Mombasa. Mimi nakubaliana na yeye kabisa. Mumefanya vizuri kupunguza tozo na amesema kwamba bado tozo ipo juu na mtapunguza zaidi. Basi hamna budi ila kupunguza tozo ikiwa mnataka kucompete na Mombasa port ambayo ndio King wa Eneo hili.
 
Huyu jamaa ameongea vizuri sana. Hamuwezi kucompete na Bandari ya Mombasa ikiwa mnacharge pesa nyingi kwa kila container kushinda bandari la Mombasa. Itabidi mpunguze bei ili muwe competitive na bandari la Mombasa. Mimi nakubaliana na yeye kabisa. Mumefanya vizuri kupunguza tozo na amesema kwamba bado tozo ipo juu na mtapunguza zaidi. Basi hamna budi ila kupunguza tozo ikiwa mnataka kucompete na Mombasa port ambayo ndio King wa Eneo hili.
Ofcourse new entrant in a market lazma aanze na promotions kuvutia wateja ukumbuke bandari ya Tanga ilikuwa kwa ajili ya sisal n coffee exports miaka hiyo! So now a revival of the port through Uganda's crude oil export is imminent! even sisal farming is back!



 
Tanga port imechukua mzigo wa Mombasa wa clinker!
Sasa next step nawapa advice, Mkataze Watanzania wote kutotumia port of Mombasa. Hususan wale wanaoishi Northern Tanzania, Arusha, Kilimanjaro n.k.
 
Sasa next step nawapa advice, Mkataze Watanzania wote kutotumia port of Mombasa. Hususan wale wanaoishi Northern Tanzania, Arusha, Kilimanjaro n.k.
Mbona tayari wamerudi wenyewe baada ya MGR Tanga-Arusha kufufuliwa!
 
unnamed.jpg
 
Safi sana ile land reclamation in Netherlands tulikua tukisoma high school is now happening at home
 
Kwa wale Malazy wanaodanganya watu kwamba ujenzi wa Lamu port ulianza 2012. Tazameni video ya NTV ya Mei 2015 inayoonyesha wazi kwamba ujenzi bado haujaanza.

 
Na evidence kwamba video yenyewe ni ya 2015 ndio hii hapa.
16132866632596664.png
 
Hahaha hio nyangumi hua inapinga kila kitu hata evidence. Yeye haheshimu evidence. Yeye na ichoboy01 wako hivyo.

hunifunzi mimi kwenye hili! As a matter of fact i was the one that gave u an insight! A simple question, what is the meaning of a project launch? Listen at 0.38 min!





LAPSSET Launched in Lamu​

On 2nd March, 2012, H.E President Mwai Kibaki,H.E Prime Minister Meles Zenawi and H.E President Salva Kiir jointly launched the Lamu Port in Mokowe-Lamu on the Indian Ocean coast.
presidents_shake_hands.png

The Three presidents shake hands to symbolise a unity of purpose in the project.
The port is part of the Lamu Port -South Sudan-Ethiopia (LAPSSET) project. Dubbed the most ambitious infrastructural undertaking on the continent, at an estimated cost of some $25bn, the project is a vital transport and economic development corridor for the region. Although it has commenced with three countries, LAPSSET is envisaged as a bridge that will link the Indian Ocean side of the continent to the Atlantic coast and to the north it links into the Northern Corridor into Djibouti, Sudan and Egypt.
The LAPSSET project comprises 32 port berths connected to the region by thousands of kilometres of new rail tracks, pipeline and a highway. This corridor will also have 3 resort cities, a number of airports, and a manmade dam (the grand dam).
Among those who witnessed this historic event was Amb Monica Juma and Amb Cleveland Leshore, Kenya’s Ambassaor to South Sudan, Ministers, Members of Parliament, including those from Lamu and other high level officials from the three countries.
headsof-state-laying-foundation.png
President-Kibaki-Planting-tree-at-lapsset-launch.png
The Heads of State laying the
foundation stone for the administrative
building of the port
President Kibaki leads his
colleagues in planting a tree

placard-commemorating-launching-lapsset.png
kibaki-salva-zenawi-salute-people.png
The Three Heads of State read
the placard that commemorates
their joint launch of LAPSSET.
President Salva Kiir, President Kibaki and
Prime Minister Zenawi salute the crowds
after the launch of LAPSSET

kibaki-zenawi-salva-lift-country-flags.png
The Three presidents raise
their national flags

proposed_lamu_port_site.png
routing_corridor.png
Aerial view of the proposed Lamu port siteThe routing of the corridor




MY TAKE
Tony254 wacha upumbavu!
 
Back
Top Bottom