Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Nimekuambia tayari mwaka huu ukiisha bila hio port kukamilika nitatoka JF.
Be more specific kuisha nn? 3 first berths au kuwekwa na gantry cranes au kuwekwa X-ray scanners au control tower? Au kuanza kupeleka cargo garissa (mostly likes maize relief to curb hunger)! hebu elezea vizuri!Nimekuambia tayari mwaka huu ukiisha bila hio port kukamilika nitatoka JF.
Nazungumzia first 3 berths and their corresponding container terminals lazima zimalizike this year.Be more specific kuisha nn? 3 first berths au kuwekwa na gantry cranes au kuwekwa X-ray scanners au control tower? Au kuanza kupeleka cargo garissa (mostly likes maize relief to curb hunger)! hebu elezea vizuri!
Small strides. Give it timemaendeleo gani miaka 10 kitu hakijaisha!?
Terminal inaisha vp bila ya gantry cranes?Nazungumzia first 3 berths and their corresponding container terminals lazima zimalizike this year.
Of course inaweza kufanyika. Au unajaribu kusema kwamba hakuna uwezekano wa container terminal kukamilika kabla ya gantry cranes kuagizwa?Terminal inaisha vp bila ya gantry cranes?
terminal inahesabika imekamilika ikiwa na vifaa vya kupakua na kupakia containers toka ama kwenda kwenye ship!Of course inaweza kufanyika. Au unajaribu kusema kwamba hakuna uwezekano wa container terminal kukamilika kabla ya gantry cranes kuagizwa?
According to who? Hii ni definition yako kibinafsi. Leta evidence.terminal inahesabika imekamilika ikiwa na vifaa vya kupakua na kupakia containers toka ama kwenda kwenye ship!
sasa itafanya vp kazi bila ya cranes?According to who? Hii ni definition yako kibinafsi. Leta evidence.
Phase 1 ni ujenzi wa bandari (berth 1,2 na 3) na pia ujenzi wa container terminals 1,2 na 3.sasa itafanya vp kazi bila ya cranes?
nionyeshe container terminal Lamu port!Phase 1 ni ujenzi wa bandari (berth 1,2 na 3) na pia ujenzi wa container terminals 1,2 na 3.
Phase 2. Ununuzi wa cranes.
Phase 1 na phase 2 zipo tofauti na hata zinafanywa na kampuni tofauti.
Hahaha. I hope unaelewa container terminal ni nini! Anyway wacha naleta picha soon. Subiri kidogo nimalize shughuli fulani hapa.nionyeshe container terminal Lamu port!
I hope Hizo containers zitabebwa mgongoni na manamba! Maana so far hamna cranes!Hahaha. I hope unaelewa container terminal ni nini! Anyway wacha naleta picha soon. Subiri kidogo nimalize shughuli fulani hapa.
Nimepata picha ya container terminal ya Lamu port ila kabla sijaipost nataka kwanza kupost picha ya Dar port berth 5I hope Hizo containers zitabebwa mgongoni na manamba! Maana so far hamna cranes!
For Dar port that's Quayside, The container Terminals for Dar cargo will be behind the quayside while most will go to Kwala ICD!Nimepata picha ya container terminal ya Lamu port ila kabla sijaipost nataka kwanza kupost picha ya Dar port berth 5
View attachment 1735046
Kama uonavyo, Berth 5 ya Dar port niliyochora kwa wino wa samawati umeshakamilika. Lakini container terminal ya berth 5 ambayo nimechora kwa wino nyekundu bado haijakamilika. Kwa hivyo usiringe sana maana hata nyinyi container terminal yenu bado haijakamilika.