LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Wakilishi wa kampuni ya meli ya Maersk watembelea Lamu port kuangalia progress














 
Wakilishi wa kampuni ya meli ya Maersk watembelea Lamu port kuangalia progress














miaka miwili iliyopita! hata Toyota Tsusho walitembelea Lamu port Kiir and late Ethiopian president pia 8 years before!
 
Umeskia mpango wa kujenga ship meintenance yard na kuacha kuleta meli zetu Mombasa kwa unthankfully neighbors?



Kuna Mtwara port pia
Hata msilete huku hizo meli zenu mbovu. Hatuzitaki.
 
Hata msilete huku hizo meli zenu mbovu. Hatuzitaki.
hamjui mnachoenda kukosa ni meli zitakazoshiriki kwenye over $100 bln worthy of gas and oil industries! Nyie endeleeni na dispute ya territory na Somalia!
 
hamjui mnachoenda kukosa ni meli zitakazoshiriki kwenye over $100 bln worthy of gas and oil industries! Nyie endeleeni na dispute ya territory na Somalia!
Meli zitakazotumika kusafirisha mafuta zitakuwa zinamilikiwa na wazungu au watu kutoka bara la Asia na wala hazimilikiwi na serikali au wananchi wa Tanzania. I am 100% sure kwamba Tanzanian govt or private sector does not own even a single oil tanker. Dude kama hili hamna na hamtawahi kuwa nayo.

So Kenya is not missing out on anything. Meli zenu mbovu mbaki nazo tu.
 
Wakilishi wa kampuni ya meli ya Maersk watembelea Lamu port kuangalia progress














This is a pretty serious piece of infrastructure right here, no wonder our neighbours to the south are forming at the mouth.

By the way Lamu port is a green-field project meaning it was built entirely from scratch and it is not an extension of an existing port. As such, Lamu port is the biggest green-field port construction project in Africa
 
Fool Bakhresa has oil tanker as u speak and FYI ships to be used for operations in gas fields will be constructed at Tanga!

United Group Ltd, trading as United Petroleum, is a subsidiary of Bakhresa Group of companies based in Zanzibar Island of Tanzania. United Petroleum is a market leader in the petroleum industry in Zanzibar and we pride our selves in supplying quality products. We strive to be a consistent supplier of quality oil products delivering our customer promise of supplying on time, in quality & in full while offering seamless execution of service.

We have the largest capacity depot installation in Zanzibar and own a Lloyds class tanker that is also available for charters. We are always striving to find better, safer and cleaner ways to deliver the energy Zanzibar needs. We serve onshore bunkering needs, commercial segment as well as a network of retail stations.




We are currently spot chartering our marine tanker which is a Lloyds class double hull double bottom tanker. United Spirit 1 IMO no 934751 is of LOA 88.67meters, GRT 2965mt, and Summer Deadweight of 3778mt.

The total cubic capacity is 4173.5m3. It has 6 cargo pumps with separated pipelines and two pumps can run simultaneously with discharge capacity of 550m3 per hr.


Our Charter routes are Dar es Salaam, STS Point Mangapwani, Mombasa, Mtwara, Comoros & Mozambique ports.




 
Mmeanza mwaka huu kujenga tayari ushanihesabia vile mta take over okanda huu 🤣 🤣 🤣 Sisi tuko na miaka mingi tumekua tukifanya hii biashara, tunaamikia na wateja, nyinyi mtakua ndo mnaanza kutengeneza jina, itawachukua angalau miaka zaidi ya 7mkifanya maintenance ya meli zenu kwanza kabla nchi yeyote jirani kuamini kwamba mna uwezo. Stop counting your chics before they hatch!

Hebu cheki kwa mfano, hii meli ya alpha kirawira ilitengenezewa pale Mombasa na kampuni ya SECO, Hua inabeba mizigo na magari ya usafirishaji ukanda huu hadi mozambique kutoka Kenya



















Hio ndo aina ya competition unafaa kutarajia, so goodluck
 
u know that Mwanza has more ships than the whole of Kenya right? Now u want me to show u similar facilities by Bakhresa alone? Those r barges to us!




Bakhresa alone has more ships than SECCO!

On Demand Vessels​

These two vessels are ready for charter to suite customer preferences. The vessels can handle all types of goods including loose cargo, containers and dangerous/hazardous goods. All our vessels are fully insured to cover any risk that might arise during voyage. Our Captains and crews are well trained, experienced and equipped to ensure safety comes first. Sealink 1 and 2 can not only load alot of loose cargo, they can also carry 40 and 50 trucks respectively. MV Comoro can carry up to 1,200 tons of cargo. MV Khadija can ship 300 tons of goods.


 
Hio meli moja nzee haitasaidia kitu. Halafu ujenzi wa meli moja unachukua between 4 to 7 years so sio ukweli kwamba meli zenu ndizo zitakazo tumika. imagine 200,000 bpd translates to 6,000,000 barrels per month. Let us assume that Total will charter 6 big oil tankers per month each carrying 1 million barrels. Nyinyi hamna uwezo wa kujenga six big gigantic oil tankers zinazoweza kubeba 1 million barrels. Kwa pesa yenu gani? Hamna pesa ya kutosha ya kujenga super tankers kadhaa. Hamna expertise wala engineers. Hamna machines ambazo zinahitajika kucut sttel (steel cutting machines). Hamjanunua crane badges or other types of cranes zinazofanya heavy lifting of metal parts Halafu hata ukitudanganya eti mtajenga four ships at a go then your also need four dry docks. Saa hizi hamjajenga dry dock hata moja. Kumbuka super tanker inahitaji dry dock kubwa zaidi.





Sisi sio wajinga. Tafuta mtu mwingine mjinga wa kudanganya. Nyinyi mnaweza tu kujenga oil tankers ndogo ndogo kama hio ya Bakhresa ambako ni katanker kadogo sana na hakana economies of scale kama tanker kubwa. Tanker kubwa lazima zijengwe na nchi za bara la Asia.
Tazama jinsi super tanker ya 1 million barrels itakayotumika inavyofanana.

Nyie hamna uwezo wa kujenga super tanker kama hii. Nchi chache sana zina uwezo wa kujenga super-tanker kama hii South Korea, Japan na pengine Uchina na pengine nchi moja au mbili. Hakuna nchi ya Africa inayoweza kujenga super tanker. Nenda kadanganye wachawi wenzako.
 
sasa kama Bakhresa ana moja nn kinamzuia kuwa na mbili au tatu? Sijasema kuwa mafuta yote atabeba yeye ninachosema atashiriki kwenye ubebaji wa mafuta na hata saahii anashiriki tena analeta mpaka Mombasa! Ni hilo tu! Na isitoshe hata serikali ya tanzania pia ina mpango wa ku-operate cargo ships na tankers Indian ocean!
 
Lapsset stake holders inspecting Lamu-Garisa- Isiolo road construction






What you are seeing below after the map is the Lamu-Garsen strech which is 110 km long, its 87% complete and will be completed by June.







 
Airport in Mandera



A destination for containers from Lamu port after a launch (date unknown)!!
CC: Tony254
 
Latest picture of Lamu port. Notice how it is almost complete.


 
Mbona picha hazionekani?
Nimetoa hio message na kupost nyingine maana picha imeji-attach vibaya.

Anyway, hio picha kwenye hio tweet uliyopost, ni ya zamani sana. Yaani mimi nakupa latest picture ya Lamu port na wewe unapost picha ya zamani ya Lamu port?
 
Land Reclamation for all 3 berths completed on 31st March 2021



▲ Reclamation of the 3 berths involved 1,180,000 cu.m of filling works

Source:


N:B
Kwa wale watu ambao hawaelewi land reclamation ina maanisha nini basi mjue kwamba land reclamation ni ile process ya mchanga kuchukuliwa chini ya bahari na kumwagwa kando kando mwa ufuo wa bahari ili kutengeneza ardhi lakini in this case tunatengeneza berths. Hio process imekamilika na berths zote tatu zimemwagiwa mchanga wa kutosha. Ujenzi wa berth ya kwanza umekamilika, ujenzi wa berth ya pili upo karibu kukamilika na ujenzi wa berth ya tatu upo karibu kuanza maana kujazwa kwa mchanga umekamilika leo.

Hili dredger ndilo lililokuwa likitumika kuchota mchanga chini ya bahari


Kisha dredger limeunganishwa na pipe inayobeba mchanganyiko wa mchanga na maji na kwenda kuyamwaga kwenye berths.
Tazama pipe yenyewe


Ukitazama picha hii hapa chini ya zamani basi utaona kwamba hizo berths bado hazijajazwa na mchanga kutoka kwenye bahari. Bado kuna shimo kubwa linaonekana.


Sasa mambo ya kumwagilia mchanga kwenye berths imekamilika. Sasa tazama jinsi finished product inavyofanana. Umwagiliaji wa mchanga kwenye berth zote tatu umekamilika kwa hivyo dredger inabidi irudi nyumbani maana imemaliza kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…