Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miaka miwili iliyopita! hata Toyota Tsusho walitembelea Lamu port Kiir and late Ethiopian president pia 8 years before!Wakilishi wa kampuni ya meli ya Maersk watembelea Lamu port kuangalia progress
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeskia mpango wa kujenga ship meintenance yard na kuacha kuleta meli zetu Mombasa kwa unthankfully neighbors?
Kuna Mtwara port pia
hamjui mnachoenda kukosa ni meli zitakazoshiriki kwenye over $100 bln worthy of gas and oil industries! Nyie endeleeni na dispute ya territory na Somalia!Hata msilete huku hizo meli zenu mbovu. Hatuzitaki.
Meli zitakazotumika kusafirisha mafuta zitakuwa zinamilikiwa na wazungu au watu kutoka bara la Asia na wala hazimilikiwi na serikali au wananchi wa Tanzania. I am 100% sure kwamba Tanzanian govt or private sector does not own even a single oil tanker. Dude kama hili hamna na hamtawahi kuwa nayo.hamjui mnachoenda kukosa ni meli zitakazoshiriki kwenye over $100 bln worthy of gas and oil industries! Nyie endeleeni na dispute ya territory na Somalia!
This is a pretty serious piece of infrastructure right here, no wonder our neighbours to the south are forming at the mouth.Wakilishi wa kampuni ya meli ya Maersk watembelea Lamu port kuangalia progress
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Fool Bakhresa has oil tanker as u speak and FYI ships to be used for operations in gas fields will be constructed at Tanga!Meli zitakazotumika kusafirisha mafuta zitakuwa zinamilikiwa na wazungu au watu kutoka bara la Asia na wala hazimilikiwi na serikali au wananchi wa Tanzania. I am 100% sure kwamba Tanzanian govt or private sector does not own even a single oil tanker. Dude kama hili hamna na hamtawahi kuwa nayo.
View attachment 1735883
So Kenya is not missing out on anything. Meli zenu mbovu mbaki nazo tu.
Mmeanza mwaka huu kujenga tayari ushanihesabia vile mta take over okanda huu 🤣 🤣 🤣 Sisi tuko na miaka mingi tumekua tukifanya hii biashara, tunaamikia na wateja, nyinyi mtakua ndo mnaanza kutengeneza jina, itawachukua angalau miaka zaidi ya 7mkifanya maintenance ya meli zenu kwanza kabla nchi yeyote jirani kuamini kwamba mna uwezo. Stop counting your chics before they hatch!ati unajua kuna oil from Uganda and later South Sudan and DRC all will transit through Tanzania's port of Tanga, sasa unataka tuwafaidishe msio na shukurani? BTW Mozambique tayari wanatumia Mtwara port na nina uhakika ship maintenance yard nyingine itajengwa aidha Mtwara au Lindi maana both Mtwara na Mozambique kutakuwa na investment ya gas facilities i.e. LNG and tankers zisizopungua $100 bln! kwanza hata hizo kampuni binafsi za mabeberu zilizo Mombasa zinaweza hama Kenya!
u know that Mwanza has more ships than the whole of Kenya right? Now u want me to show u similar facilities by Bakhresa alone? Those r barges to us!Mmeanza mwaka huu kujenga tayari ushanihesabia vile mta take over okanda huu 🤣 🤣 🤣 Sisi tuko na miaka mingi tumekua tukifanya hii biashara, tunaamikia na wateja, nyinyi mtakua ndo mnaanza kutengeneza jina, itawachukua angalau miaka zaidi ya 7mkifanya maintenance ya meli zenu kwanza kabla nchi yeyote jirani kuamini kwamba mna uwezo. Stop counting your chics before they hatch!
Hebu cheki kwa mfano, hii meli ya alpha kirawira ilitengenezewa pale Mombasa na kampuni ya SECO, Hua inabeba mizigo na magari ya usafirishaji ukanda huu hadi mozambique kutoka Kenya
![]()
![]()
View attachment 1735890
View attachment 1735892
View attachment 1735895
View attachment 1735896
Hio ndo aina ya competition unafaa kutarajia, so goodluck
azammarine.com
Hio meli moja nzee haitasaidia kitu. Halafu ujenzi wa meli moja unachukua between 4 to 7 years so sio ukweli kwamba meli zenu ndizo zitakazo tumika. imagine 200,000 bpd translates to 6,000,000 barrels per month. Let us assume that Total will charter 6 big oil tankers per month each carrying 1 million barrels. Nyinyi hamna uwezo wa kujenga six big gigantic oil tankers zinazoweza kubeba 1 million barrels. Kwa pesa yenu gani? Hamna pesa ya kutosha ya kujenga super tankers kadhaa. Hamna expertise wala engineers. Hamna machines ambazo zinahitajika kucut sttel (steel cutting machines). Hamjanunua crane badges or other types of cranes zinazofanya heavy lifting of metal parts Halafu hata ukitudanganya eti mtajenga four ships at a go then your also need four dry docks. Saa hizi hamjajenga dry dock hata moja. Kumbuka super tanker inahitaji dry dock kubwa zaidi.Fool Bakhresa has oil tanker as u speak and FYI ships to be used for operations in gas fields will be constructed at Tanga!
United Group Ltd, trading as United Petroleum, is a subsidiary of Bakhresa Group of companies based in Zanzibar Island of Tanzania. United Petroleum is a market leader in the petroleum industry in Zanzibar and we pride our selves in supplying quality products. We strive to be a consistent supplier of quality oil products delivering our customer promise of supplying on time, in quality & in full while offering seamless execution of service.
We have the largest capacity depot installation in Zanzibar and own a Lloyds class tanker that is also available for charters. We are always striving to find better, safer and cleaner ways to deliver the energy Zanzibar needs. We serve onshore bunkering needs, commercial segment as well as a network of retail stations.
![]()
We are currently spot chartering our marine tanker which is a Lloyds class double hull double bottom tanker. United Spirit 1 IMO no 934751 is of LOA 88.67meters, GRT 2965mt, and Summer Deadweight of 3778mt.
The total cubic capacity is 4173.5m3. It has 6 cargo pumps with separated pipelines and two pumps can run simultaneously with discharge capacity of 550m3 per hr.
Our Charter routes are Dar es Salaam, STS Point Mangapwani, Mombasa, Mtwara, Comoros & Mozambique ports.
sasa kama Bakhresa ana moja nn kinamzuia kuwa na mbili au tatu? Sijasema kuwa mafuta yote atabeba yeye ninachosema atashiriki kwenye ubebaji wa mafuta na hata saahii anashiriki tena analeta mpaka Mombasa! Ni hilo tu! Na isitoshe hata serikali ya tanzania pia ina mpango wa ku-operate cargo ships na tankers Indian ocean!Hio meli moja nzee haitasaidia kitu. Halafu ujenzi wa meli moja unachukua between 4 to 7 years so sio ukweli kwamba meli zenu ndizo zitakazo tumika. imagine 200,000 bpd translates to 6,000,000 barrels per month. Let us assume that Total will charter 6 big oil tankers per month each carrying 1 million barrels. Nyinyi hamna uwezo wa kujenga six big gigantic oil tankers zinazoweza kubeba 1 million barrels. Kwa pesa yenu gani? Hamna pesa ya kutosha ya kujenga super tankers kadhaa. Hamna expertise wala engineers. Hamna machines ambazo zinahitajika kucut sttel (steel cutting machines). Hamjanunua crane badges or other types of cranes zinazofanya heavy lifting of metal parts Halafu hata ukitudanganya eti mtajenga four ships at a go then your also need four dry docks. Saa hizi hamjajenga dry dock hata moja. Kumbuka super tanker inahitaji dry dock kubwa zaidi.
View attachment 1735910
View attachment 1735911
Sisi sio wajinga. Tafuta mtu mwingine mjinga wa kudanganya. Nyinyi mnaweza tu kujenga oil tankers ndogo ndogo kama hio ya Bakhresa ambako ni katanker kadogo sana na hakana economies of scale kama tanker kubwa. Tanker kubwa lazima zijengwe na nchi za bara la Asia.
Tazama jinsi super tanker ya 1 million barrels itakayotumika inavyofanana.
View attachment 1735905
Nyie hamna uwezo wa kujenga super tanker kama hii. Nchi chache sana zina uwezo wa kujenga super-tanker kama hii South Korea, Japan na pengine Uchina na pengine nchi moja au mbili. Hakuna nchi ya Africa inayoweza kujenga super tanker. Nenda kadanganye wachawi wenzako.
![]()
US sells a million barrels of Iranian oil seized under sanctions
A Justice Department spokesman said the oil had been sold and the proceeds would go to a fund for victims of terrorism.www.aljazeera.com
Mbona picha hazionekani?Latest picture of Lamu port. Notice how it is almost complete?
View attachment 1739830
View attachment 1739811
View attachment 1739812
View attachment 1739813
View attachment 1739814
View attachment 1739815
View attachment 1739816
View attachment 1739817
View attachment 1739818
View attachment 1739819
View attachment 1739820
View attachment 1739821
View attachment 1739822
View attachment 1739823
View attachment 1739824
View attachment 1739825
View attachment 1739826
View attachment 1739827
Mbona picha hazionekani?