LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Wewe unaelewa neno "transhipment port" ina maana gani? Ama uko hapa kuongea mambo ambayo huelewi? Kwanza kuna fununu kwamba kuna uwezekano kwamba the first two ships zitakuwa zinatokea Mombasa port na Dar es Salaam port.
Jana nilisema kwamba kuna fununu kwamba meli ya kwanza kutua Lamu port itatokea Dar es Salaam port. Sasa ndio hii hapa confirmation. Maiden ship schedule.









Kuna Mlazy mmoja Mr. Wivu alisema kwamba rais wa Tanzania hawezi kamwe kuruhusu Lamu port kutumika kama transhipment hub na kwamba Dar port haiwezi kuhusishwa na transhipment business ya Lamu port. Hii ni pigo kubwa kwa ego ya Mlazy huyu. Meli ya kwanza kutua Lamu port itatokea Lazyland.
 
Eggs on the face
 


MY TAKE
BTW Hili jengo lipo Samora Avenue au Sokoine Drive? Waandishi wetu bwana hivi hawakagui kazi zao?
 
Sasa kama meli hiyo inapeleka mzigo Lamu port? How far r u sure kwamba inaenda kuchukua mzigo Lamu port isiyo na vifaa? We Mkunya wacha kuhara!
 
Yaani wengine tunazungumza kuhusu kuzindua port mpya wiki hii na huku mwingine anapost kuhusu TPA kuzindua gym. Bana dunia ina mambo.
 
Sasa kama meli hiyo inapeleka mzigo Lamu port? How far r u sure kwamba inaenda kuchukua mzigo Lamu port isiyo na vifaa? We Mkunya wacha kuhara!
Nani amesema inaenda kuchukua mizigo Lamu? Nimesema inapeleka mizigo Lamu port. Wacha upumbavu Mlazy.
 
Nani amesema inaenda kuchukua mizigo Lamu? Nimesema inapeleka mizigo Lamu port. Wacha upumbavu Mlazy.
Mr Uharo, tutaona kama inapeleka mzigo Lamu port for reexport!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…