LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

10Km of 4 lane road from Lamu port to near Hindi 100% Compete,

111 KM of highway between Mokowe in Lamu to Minjila 97% complete , Mimi ata nilikua sijui kama hii barabara inajengwa !!!!!!



Minjila is 219KM from Garissa. And Garissa is 335km from Lamu. From Garissa you can head Isiolo, S.Sudan, Ethiopia...




New petro station approx 11km from Lamu port

















Uncompleted sections are less than 5km, They have also no done road markings and signage in most places but other than that, Its almost compete!




Yani ukifikiri hatusongi unajikuta tayari tushapiga hatua, whaat!!!

CC: Geza Ulole
 
Those are small boats i haven't seen them in ages kumbe still bado zipo
 

Strategy wanayotumia hapa ni very interesting. Unaona hizo flat-beds sita kwenye picha, hizo zinatumika kuharakisha upakuzi wa containers. Wakati malorry yanapeleka containers kwa container terminal, badala ya kupoteza muda kungojea malorry yarudi, crane inaweka container juu ya flat-beds kisha lorry ikija inaunganishwa na flat-bed na kuondoka na mizigo. Hivyo meli haitapoteza muda kwenye gati ikisubiri malorry kupiga round-trip.
 






MY TAKE
The distance between Tanga to Kigali keeps getting shorter! It has to be noted the distance between Mombasa and Kampala is equal to the distance between Tanga and Kampala. Not to forget the 3.2 km JPM's Kigongo-Busisi bridge will even shorten the distance!






 
Umewahi ona wapi small boat yenye inabeba 100 containers? You are the new Mr. Wivu in town.
You dont know marine terminologies so ficha Ujinga wako. Hata wajerunan wakati wa vita kuu ya pili walikuwa na U boats sasa nimekupa homework ufanye halafu urudi hapa tena
 
You dont know marine terminologies so ficha Ujinga wako. Hata wajerunan wakati wa vita kuu ya pili walikuwa na U boats sasa nimekupa homework ufanye halafu urudi hapa tena
Wewe ndio mjinga. Shenzi type.
 
Competition is welcome. Sisi hatuogopi competition kama nyinyi.
Hatujawahi kuogopa ushindani. Hatupendi tu ushindani usio na tija. Mdomo mdomo sana.

Kujichocha Kwa sana na show-off zisizokuwa na maana. Kwa ground mmechoka sana jirani. Mmezidisha PR kuliko uhalisia.
 
Hatujawahi kuogopa ushindani. Hatupendi tu ushindani usio na tija. Mdomo mdomo sana.

Kujichocha Kwa sana na show-off zisizokuwa na maana. Kwa ground mmechoka sana jirani. Mmezidisha PR kuliko uhalisia.
Kenya hatupigi mdomo bure, kwa ground tumewapiga vibaya sana. Hizi ni facts unazoweza kutafuta wewe mwenyewe mtandaoni. Twende taratibu. Mwaka wa 2019 the port of Dar es Salaam ilihandle 17 million tonnes of cargo. Unajua Mombasa port ilihandle kiasi gani ya mizigo mwaka wa 2019? 34 million tonnes. Hio ni double ile mizigo iliyopakuliwa Dar es Salaam port. Kwa hivyo hatupigi mdomo tu bali kwenye ground facts zinatusupport. Hatupigi mdomo bure.
 
Facts from cooked data. Wewe hujiulizi huo mzigo wote huwa unakwenda wapi? Port zenu hazina wateja wengi kama kwetu, mostly your import is for local consumptions. Sasa hujiulizi tu mna import nini mno for consumption? Hata ukiangalia BOP Kati yenu na sisi iko Sawa na saiv tumewapita.. Na Kwa ukanda huu tunaongoza Kwa mauzo ya bidhaa nje. Sasa nyie hiyo import ya kutuzidi ni ya kitu gani?

Try to be logical, it doesn't add up. Nyie mnapika data, na wanafanya makusudi ili waendelee kuwaumiza nyie watu wadogo. Bottom up ndio approach itaweza kuwatoa hapo mlipo.

You need Grass roots investment to trigger economic activities to the community. Tofauti na Sasa uchumi wa makaratasi una neemesha wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…