Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Geza Ulole The best 007 mkorinto Mokaze Mtanzania mwenzenu huyu anajielewa sana.Logistic
Wako vizuri kwenye miundo mbinu ususani kwenye ujenzi wa Barbara...pongezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geza Ulole The best 007 mkorinto Mokaze Mtanzania mwenzenu huyu anajielewa sana.Logistic
Wako vizuri kwenye miundo mbinu ususani kwenye ujenzi wa Barbara...pongezi
Ana ujinga kama wako! Wewe mwenyewe ushakiri kwamba miundombinu ipo poor hiyo mitaa ya huko!
15m depth ina-accommodate post Panamax! Upanuzi wa Tanga port ulianza na widening and deepening of entrance channel from 5 m to 15 m depth n for a distance of over 2 km! Now that 100 m is left for the 3 berths expansion!Kwa hivyo bado mnapakua mara mbili ila distace kati ya meli na gati imepungua hadi mita mia moja? Halafu pia mheshimiwa amesema kuwa mnapanga kupanua gati ili meli kubwa iweze kutia nanga kwenye gati. Kwa hivyo hata hio gati bado hamjaanza kuipanua? Aisee mko nyuma sana. Halafu kwa habari yako, hio meli mnayoita kubwa hata sio kubwa. Hio meli unayoona hapo kwenye video ni aina ya Panamax, kwa hivyo ni meli ya kawaida tu. Meli aina ya post-panamax ni kubwa karibia mara mbili ya hio. Sasa kama meli ya kawaida ya panamax haiwezi kutia nanga directly hapo Tanga sasa unategemea vipi post-panamax iweze kutia nanga hapo bandari ya Tanga? Nyie mnapanga kuexpand gati ya Tanga ili meli ya kawaida iweze kutia nanga katika siku za usoni.
Sasa ule utopolo uliokuwa unaandika kuwa Bandari la Tanga linapanuliwa mimi nilidhani linapanuliwa ili liwezeshe meli ya post-panamax kutia nanga. Ulisema kwamba Magufuli hawezi kubali Lamu port ifanye transshipment maana Tanga port inapanuliwa (mimi nikadhani Tanga inapanuliwa ili iwezeshe post-panamax kutia nanga) kumbe hata meli ya kawaida ya panamax haiwezi kutia nanga Tanga port? Nimeshangazwa sana na habari hii. Sasa Tanga port itacompete vipi na Lamu port ikiwa Lamu port inawezesha meli ya post-panamax kutia nanga ilhali Tanga hata panamax haiwezi kutia nanga? Yaani mnapanga kupanua gati ili panamax itie nanga? Usiwahi compare Lamu port na Tanga port tena.
Kumbuka Mtwara port pia ina tatizo hili hili. Meli aina ya post-panamax pia haiwezi kutia nanga katika Mtwara port. Lazima transshipment itafanyika Lamu port mpende msipende maana nimegundua port zenu ni ndogo sana. Dar port pengine ndio port yenu pekee ambayo ina uwezo wa kupokea post-panamax ila iko busy sana kwa hivyo haiwezi kufanya trans-shipment. Sisi Mombasa port na Lamu port, zote mbili zina uwezo wa kupokea post-panamax. Siku hizi meli nyingi zinazojengwa ni hizi kubwa aina ya post-panamax. Panueni bandari zenu ili ziweze kupokea meli kubwa ya post-panamax. Huko ndiko dunia inakoelekea. Meli zinazidi kuwa kubwa na bandari ndogo zinazidi kupoteza biashara.
15m depth ina-accommodate post Panamax! Upanuzi wa Tanga port ulianza na widening and deepening of entrance channel from 5 m to 15 m depth n for a distance of over 2 km! Now that 100 m is left for the 3 berths expansion!
The fact is Tanga port receives ships even with barges n its current 2 berths whereas Lamu doesn't as u don't have berths infrastructure! As a matter of fact petroleum products too as there's efficient pump systems. Mind u dredging has exactly taken 1 year!
peleka upumbavu berth za Dar zimechukua si zaidi ya mwaka mmoja! huko kenya ndo berth huchukua miaka 9 kuisha! As long as GoT imetenga hela na mkandarasi amepatikana hii kitu haitachukua muda mrefu just like channel dredging! Mkiambiwa mko lazy mnakataa! That lamu port project is a shame at any standard! zilizopo zina urefu wa zaidi ya 400m so tuliza mshono hizo mbili haziwezi kuwa chini ya 700 in total!Ni kweli 15m inaweza kuaccomodate post-panamax. Huyo Mheshimiwa amesema kuwa expansion ya berths hapo Tanga bado haijaanza lakini itaanza hivi karibuni. Berths huwa zinachukua muda mrefu kujengwa. Miaka mbili au tatu. Lamu port itakuwa imekamilika na imeanza kufanya kazi kabla ya berth expansion ya tanga kukamilika. Halafu post-panamax inahitaji berth yenye quay length ya 300 metres and above. Sasa sijui mnajenga berths zenye urefu upi ila kama mnajengaa berth ya quay length ya 200 metres basi sahau kabisa mambo ya post-panamax kutua hapo Tanga. Kumbuka kila berth ya Lamu port ina quay length ya 400 metres the biggest berths in Africa and one of the biggest in the world). Berth ya mita mia nne kila moja sio mchezo. Zote tatu zina urefu wa 1,200 metres. Zote tatu zinaweza kuaccomodate meli za postpanamax tatu mara moja kwa mpigo. Hata Mombasa port haiwezi kuhandle more than one post-panamax at a time. Heshimu Lamu port. Ina the biggest berths in Africa
Haha wacha tutaona kama ujenzi utachukua mwaka moja. Length ya berth itadetermine kama itaweza kuaccomodate post panamax. Nataka kuenda google kutafuta berth zenu mpya za Tanga zitakuwa na urefu upi. Nikipata nitaziposti hapa tu.peleka upumbavu berth za Dar zimechukua si zaidi ya mwaka mmoja! huko kenya ndo berth huchukua miaka 9 kuisha! As long as GoT imetenga hela na mkandarasi amepatikana hii kitu haitachukua muda mrefu just like channel dredging! Mkiambiwa mko lazy mnakataa! That lamu port project is a shame at any standard! zilizopo zina urefu wa zaidi ya 400m so tuliza mshono hizo mbili haziwezi kuwa chini ya 700 in total!
Haha wacha tutaona kama ujenzi utachukua mwaka moja. Length ya berth itadetermine kama itaweza kuaccomodate post panamax. Nataka kuenda google kutafuta berth zenu mpya za Tanga zitakuwa na urefu upi. Nikipata nitaziposti hapa tu.
Sasa makosa mnayofanya ni kugombana na IMF na World Bank ndio maana mkisema uchumi wenu umekuwa kwa 7% wao wanasema ni 5%. Hizi miradi zinastahili kufanya uchumi wenu ukuwe kwa 7% au 8% kila mwaka. Sasa sijui ni kwa nini IMF wanashinda wakisema kuwa uchumi wenu unakuwa kwa 5% kila mwaka. Mliwakosea wapi? JPM hajui diplomacy. Mtajenga mpaka Stieglers gorge (mradi wa zaidi ya $2 billion) na bado IMF watasema uchumi wenu umekuwa kwa 5%.JPM anawanyima usingizi sanaa! yaaani be assured of these 2 upcoming projects in the immediate future (as budget already set aside):
- SGR Mwanza-Isaka
- Tanga port expansion phase II (2 berths r to be constructed)
- Msalato International Airport
- Mtumba government city (offices for 22 ministries)
Hata China walifanyiwa hivyohivyo saahii the west wanalia ati China ina devalue her currency ati ina understate her growth!Sasa makosa mnayofanya ni kugombana na IMF na World Bank ndio maana mkisema uchumi wenu umekuwa kwa 7% wao wanasema ni 5%. Hizi miradi zinastahili kufanya uchumi wenu ukuwe kwa 7% au 8% kila mwaka. Sasa sijui ni kwa nini IMF wanashinda wakisema kuwa uchumi wenu unakuwa kwa 5% kila mwaka. Mliwakosea wapi? JPM hajui diplomacy. Mtajenga mpaka Stieglers gorge (mradi wa zaidi ya $2 billion) na bado IMF watasema uchumi wenu umekuwa kwa 5%.
Likoni floating bridge. The only floating bridge in Africa inakaribia kukamilika.
ati the only floating bridge in Africa, Ghana is already having what u aiming to have! See bouyancy equipments on that lagoon!
And see what happened after heavy rains and tell urself of imminent danger on that structure across the Likoni channel!
isn't the physics behind not the same? both designed to have bouyancy hence floating?Geza yaani you can seriously compare bila aibu huo uchafu wa Ghana ambao umejengwa bila international engineering standards na floating bridge ya Kenya ambayo imekuwa designed and constructed by CRBC? One of the biggest engineering companies in the world? By the way hawa CRBC ndio wamejenga SGR ya Kenya na ndio wanaojenga Nairobi expressway Halafu hii Likoni floating bridge inafloat at the center pekee ila on both ends haifloat bali inakuwa supported na steel piers running into the ocean floor. Halafu bridge yenyewe imejengwa na chuma. Sasa sehemu ambayo inafloat ni sehemu ya katikati pekee ambayo itafunguka kuruhusu meli kupita. Hii bridge ya Likoni most of it is fixed to the ocean floor na maybe robo yake tu ndio inafloat. Sasa unapost daraja ya slums ndio ikusaidie na nini? Hio daraja ya slums haijakuwa designed na an engineering firm. Haijajengwa kwa chuma. Contract haijapewa kwa Kampuni inayoheshimika kama sisi tulivyopea CRBC iliyotujengea SGR na sasa inajenga Nairobi expressway. Daraja yetu inajengwa kwa ocean ambayo hapo likoni channel ina kina cha maji ya mita 50 kwenda chini. Halafu unailinganisha na uchafu wa Ghana ambayo imejengwa kwa mto ambayo kina cha maji hakijazidi mita tano kwenda chini . Wewe unawezaje kulinganisha huo uchafu na likoni floating bridge unless unatania otherwise hapo hujafikiria.
The method of construction is not the same. The design is not the same. Even the materials used are not the same. Wewe tatizo lako ni kuwa unafikiri floating bridge zote ni weak na zinaweza kuvunjika ila ukweli ni kwamba floating bridge iliyojengwa professionally ni strong sana na inaweza last for decades bila kuharibika. Bridge yetu iko designed and constructed by qualified engineers.isn't the physics behind not the same? both designed to have bouyancy hence floating?
The method of construction is not the same. The design is not the same. Even the materials used are not the same. Wewe tatizo lako ni kuwa unafikiri floating bridge zote ni weak na zinaweza kuvunjika ila ukweli ni kwamba floating bridge iliyojengwa professionally ni strong sana na inaweza last for decades bila kuharibika. Bridge yetu iko designed and constructed by qualified engineers.
Tazama hii video ya the longest floating bridge in the world iliyo Seattle Washington state USA. Hata magari yanapita juu na haivunjiki. Kuna floating bridge nyingi duniani ila hapa Afrika tumezembea na hakuna floating bridge iliyojengwa professionally hapa Afrika.