LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

najua unataka hongera ila i guess unajua largest textile producer Africa ni nani!?
Video ya textile niliweka kimakosa nikaitoa maana hii ni jukwaa ya ports. Video ninayozungumzia ni hio hapo juu inayoonyesha jinsi Kisumu port ilivyokarabatiwa na jinsi MV Uhuru ilivyotengenezwa upya. MV uhuru imeshafanya safari 26 kupeleka mafuta Uganda. Kila safari meli hiyo inasafirisha 1 million litres of fuel
 
Likoni floating bridge iko karibu kukamilika

129592435_1794336347396370_2913838917559126702_o.jpg
129733028_1794336437396361_2184436873966233281_o.jpg
129935372_1794336234063048_53988291754306718_o.jpg
 
naona sakafu ya mbao! 🤣 🤣 ☝️
Wewe una matatizo ya macho. Unadhani hii ni ile mavi kutoka Ghana uliyopost hapa? Sakafu imeundwa kwa metallic panels. Yaani mabati nzito flat ya chuma. Hebu zoom hio picha ya mwisho utazame vizuri.
 
daraja la watembea kwa miguu prefabricated!! pata picha mngekuwa mnajenga kitu kama hiki ingekuwaje?

Hili ni daraja la watembea kwa miguu ambao idadi yao huwa 300,000 kila siku. Lazima wangejengewa bridge maana ni wengi. Halafu mbona unalingalisha footbridge na normal bridge lenu ambalo litabeba hata magari? Hata sisi tutaanza kujenga Mombasa gate bridge in April 2021 ambalo litabeba magari. Design ya bridge ishafanywa. Financier Ashapatikana. JICA will fund the project with a loan. Kwa hivyo uwe na subira hadi April wakati ujenzi wa mradi huo utakapozinduliwa.

872FFA47-E111-43C9-AFF4-12E03D357BC7.jpeg

Hio main pillar will be 200 metres tall. One of the tallest structures in Africa. It has to be tall to allow post-panamax ships to pass below it at the Likoni crossing channel. It will be the tallest cable-stayed bridge in Africa.

Lakini kwa sasa hakuna haja ya wewe kucompare hili daraja ndogo la pedestrians na lenu kubwa ambalo litabeba motorised traffic.
 
View attachment 1641918

Tangu Kibaki hii maneno inaongelewa!
 
Video ya project scope ya Dongo Kundu bypass

Back
Top Bottom