LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Hata barabara ya kuelekea Mombasa port imepanuliwa into 6 lanes. Yaani tunaongeza efficiency kote kote.

Watanzania sisi ndio tunawajengea 3 pilot boats zenu.

Uhuru has been big on infrastructure in mombasa
Not Mombasa alone, Uhuru's work on infrastructure can be seen in the entire country. I'm trying to assume how Kenya would have looked like if he had this mentality right away from 2013. Im also trying to assume how Kenya would look like if he didn't tolerate corruption.
 
Some of kenyan fellas r slowly waking up!

Huyo mama ni mjinga sana. Eti Kenya ikitaka kuimport oil lazima tutumie port of Tanga? Kivipi? Sisi hatutaki kuimport crude oil ya UG. Sio kila mtu anayepost kwenye twitter anajua anachosema. Usiende kuokoteza okoteza vijitweet ili kujifurahisha. Halafu muambie kwamba Kenya haina haja ya kuimport raw unprocessed sticky waxy crude oil kutoka UG. Sisi tunaimport refined oil ONLY.
 
Not Mombasa alone, Uhuru's work on infrastructure can be seen in the entire country. I'm trying to assume how Kenya would have looked like if he had this mentality right away from 2013. Im also trying to assume how Kenya would look like if he didn't tolerate corruption.

Uhuru has been big on infrastructure in mombasa
Speed yenye Uhuru anakuja nayo ni speed ya 5G. I have problems with Uhuru but one area where I give him maximum kudos ni hii area ya infrastructural development. On this area of infrastructural development I give Uhuru 10/10 points.

First precast girdiers for Mwache bridge.

image_5cfce3c6-37a4-40ca-8313-3c1fa717b5cd20210425_165121.jpg

image_ecc00d10-34d9-4002-90af-956fc1f1fcd020210425_165117.jpg

image_5a10b92d-82da-4813-a68b-d772ca9ba53120210425_165112.jpg

image_c91d0040-e929-4a3a-b4fb-dd5eac29aad220210425_165108.jpg

image_5cd438b9-61db-47f7-bdc8-d98c7935c14720210425_165101.jpg
 
This is a great. Movement of equipment to Lamu Port has also started.

Huyo mama ni mjinga sana. Eti Kenya ikitaka kuimport oil lazima tutumie port of Tanga? Kivipi? Sisi hatutaki kuimport crude oil ya UG. Sio kila mtu anayepost kwenye twitter anajua anachosema. Usiende kuokoteza okoteza vijitweet ili kujifurahisha. Halafu muambie kwamba Kenya haina haja ya kuimport raw unprocessed sticky waxy crude oil kutoka UG. Sisi tunaimport refined oil ONLY.
Na gas? From Tanzania once the pipeline gets to Tanga?
 
Gas ni sawa. Tunaweza kuimport. Bora mahusiano kati ya Kenya na Tanzania yaimprove. Maana kwa sasa jinsi tunavyochukiana sioni deal ya gas ikifanikishwa.
 
Itatoka wapi? na itatumia bomba lipi kama si la EACOP?
EACOP ni bomba linalojengwa ili kusafirisha crude oil pekee. Au kama nimekosea basi nieleze. Kwani EACOP ya pili itajengwa kusafirisha gas? Na hio pipeline ya gas nani ataifinance maana Total hana haja na gas, yeye anataka tu kuexport crude oil. Na kama mtajenga gas pipeline ya Pili kutoka TZ hadi UG au hata Kenya nani atafinance hio project?
 
yap kama unafuatilia hii link na mazungumzo ya Mkurugenzi wa TPDC utajua kuna ujenzi wa gas pipeline toka Dar-Tanga then Mwanza mpaka Uganda!
 
Kuna wakati Kenya ilipropose kwamba tujenge gas pipeline kutoka Dar hadi Mombasa ili mtuuzie gas, watanzania wenyewe ndo mkakataa kwasababu ya wivu au uoga. Mkasema eti mkituuzia gas tutaichukua yote na tuitumie kujiendeleza kuwaliko hata nyinyi wenye gas! Mkasema eti kwa sasa mnataka mjipange na muitumie hio gas kwa mahitaji ya ndani alafu baadae mkishajitosheleza ndo mta tuuzia.

Sahii vile mko radhi kuuzia Uganda inaonyesha wazi chanzo kikuu cha kutunyima gas ilikua sio eti mnataka mtosheleze matumizi yenu ya ndani, ilikua tu ni uoga au wivu wa kuona tukitumia gas yenu kujiendeleza kuwaliko hata nyi wenyewe.
 
This is a great. Movement of equipment to Lamu Port has also started.

As for me, I will hold my excitement mpaka ule wakati equipment mpya zilizo agiziwa kutoka nje zikifika Lamu kama vile berth mpya ya Mombasa ilivyo agiziwa mwaka wa 2018.

equipment for berth 21 arriving in Mombasa 2018

DbSirD2X4AEsbog.jpg

DbSipTWX0AAEbU_.jpg

DbSjCAEWsAAMEQx.jpg

DbSi5eHX4AE1VzN.jpg

A few days later, Berth 21 was ready for business!

mombasa%20%28new%20terminal%29.jpg
 
Back
Top Bottom