LAPSSET yaonesha dalili zote za kuwa 'White elephant '

Port zenu bado hazijakamilika. Yetu berth 1 ishakamilika. Mko nyuma kwa kila kitu. Ilianza na Sgr na sasa ni port.
Tony254, acha kutetea poor planning ya GoK, hiyo Lamu Port imeanzishwa chini ya LAPSSET, maana yake lengo kubwa lilikua ni kuzilenga nchi za Ethiopia na SouthSudan, baada ya mabadiliko yaliyotokea, sasa hivi mnataka kuhalalisha " Failure " yenu na kuhamisha " Goal post".

Swali, kama mlilenga "Transhipment", kwanini imeitwa LAPSSET?. Tanzania tulipogundua kwamba Bagamoyo port haitokuwa na maslahi kwa nchi na watanzania, tuliamua kusimamisha hiyo " project ", hata Bagamoyo port pia kulikuwa na Maneno hayo hayo ya, Transhipment", lakini kwa hali halisi, Afrika kwa ujumla haina " Cargo" ya kutosha kwa "Transhipment business", hata South Afrika bado hakuna mzigo wa kutosha kwasasa.

Kenya kujenga bandari " specifically " for transhipment " ni sawa na kujenga uwanja wa ndege maalumu kwa watalii wanaotumia "charter planes" ni ukichaa wa hali ya juu.
 
The Only white Elephant I know is the Central Corridor
 
Aerial photos please 😂😂😂😂
 
Nikikueleza kuwa tulipanga Lamu port ipeleke mizigo Ethiopia na South Sudan lakini mipango hiyo itachelewa kidogo kwa hivyo inabidi port yenyewe ijengwe kubwa sana spesheli ya kufanya transshipment business across East Africa pengine ndio utanielewa. Yaani wakati unaplan sio lazima kila kitu kifanyike unavyotaka, mambo yakibadilika pia nyinyi mnabadilisha plan. Hivyo ndivyo mtu mwerevu anavyofanya mambo, sio kuganda na ile plan ya awali hata kama mambo yamebadilika. Mjifunze na Kenya, muwache kuwa na akili mgando. Mambo yakibadilika pia sisi tunabadilika. Sasa hivi tunaongea kuhusu transshipment. Lapsset haijakufa lakini itachukua muda mrefu kukamilika kwani barabara kutoka Lamu hadi Isiolo ndio sasa inajengwa. Itachukua miaka mitatu au zaidi kwa hiyo barabara na Infrastructure zingine kukamilika. Kutoka Isiolo hadi Moyale barabara ishakamilika na mimi mwenyewe nilitumia hiyo barabara nilipokuwa naenda Ethiopia.
 
Bagamoyo uliiona haifaiw we na nani?
Mkataba uliuonea wapi km unawaumiza?
Na mbna mchina kapinga madai yenu?

ONLY IN TANZANIA
 
Bagamoyo uliiona haifaiw we na nani?
Mkataba uliuonea wapi km unawaumiza?
Na mbna mchina kapinga madai yenu?

Mpka sai kuna mizigo ya tz inapitia mombasa halafu unajitia unajua sana...


ONLY IN TANZANIA
 
Bagamoyo uliiona haifaiw we na nani?
Mkataba uliuonea wapi km unawaumiza?
Na mbna mchina kapinga madai yenu?

ONLY IN TANZANIA
Sisi tumekataa, yeye mchina hana uwezo wa kupinga au kukubali, kwetu haina maslahi, sasa kama mchina amepinga, mpeni hiyo Lamu Port. Kenya mchina anaweza kuamua lolote alitakalo, hapa Tanzania lazima afuate sisi tunavyotaka.

Only in Tanzania where Chinese can't dictate terms and conditions, you are very right.
 
Ethiopia hawataki tena kutumia bandari ya Lamu, sio kwasababu ya barabara, kwasababu ya Djibouti ambako wamejenga reli kwa mkopo toka China, itakuwaje wasitumie reli yao ili kupata pesa ya kulipa deni badala yake watumie barabara kuja Lamu?, pili Ethiopia na Eritrea wamesuluhusha uhasama na wameanza kufanya biashara, Bandari ya Eritrea ipo karibu sana na Ethiopia, hiyo habari ya kujenga barabara haina uhusiano wowote na Ethiopia kutumia Lamu Port, kiukweli Lamu Port is "A big white elephant"
 
Wewe na nani, tena huo mkataba uko wapi...ccm bana, yani vile kiongozi flani kakataa na kukupa maelezo flani hta bila ya ushahisi na wewe unaamua kufuata....
 
Hzo nchi ulizozitaja kuna bandari yenye uwezo wa ku dock meli za maana
 
Wewe na nani, tena huo mkataba uko wapi...ccm bana, yani vile kiongozi flani kakataa na kukupa maelezo flani hta bila ya ushahisi na wewe unaamua kufuata....
Sisi watanzania, kumbuka rais wa nchi anawakilisha wananchi wote, kama ambavyo Uhuru Kenyatta aliwawakilisha wakenya kwa kuchukua mkopo wa hovyo na kujenga SGR ya kizamani isitokua na faida kwa wananchi wa Kenya, ndio hivyo hivyo Magufuli amekataa mkataba wa kitapeli wa wachina kwa niaba yetu.
 
Hzo nchi ulizozitaja kuna bandari yenye uwezo wa ku dock meli za maana
Ethiopia hawahitaji meli kubwa, kwa kipindi chote hicho wanatumia bandari ya Djibouti bila matatizo, msikazimishe Ethiopia kutumia "white Elephant lenu", ujinga wenu wa kuanzisha miradi ya kijinga msitake kulazimisha nchi zingine kutumia miradi yenu.
 
Wewe na nani, tena huo mkataba uko wapi...ccm bana, yani vile kiongozi flani kakataa na kukupa maelezo flani hta bila ya ushahisi na wewe unaamua kufuata....
They suffer from the Allegory of CCM
 
Heheee!!panamax lazima ikam through
Tayari hii hapa imeshafika. [emoji23][emoji23]
Geza hiyo meli kwa video ya kwanza sio post-panamax. Kweli hujui post-panamax ni meli size gani? Kama hujui kitu uliza utaelezewa taratibu.
Kilio mtakachotoa hamtaamini... Na wasi wasi na ule mkopo wa USD 3.4billion za kujenga SGR kulikuwa na some kind of collateral...na ndio maana saiv anaringa kuwakopesha tena kuendeleza...ikabidi awapeleke no where kwanza chaka..huku akisema mapato ya SGR hayatoshi..vita ya SGR na malori on cargo freight..aah mara Msa port inakwenda hivyo...si ndio collateral!? Ndio mnapigiwa pambio la lamu transshipment kumbe ndio mnakuwa na hiyo lamu yenu kama port ya msimbati na mkilishwa na bandari ya mchina Msa.
 
Halafu uhasama wa South Sudan na Khartoum unaelekea kuisha!
 
Kwa maana hiyo Wakenya wanataka kuhakikisha amani haipo baina ya Ethiopia na Eritrea na Sudan Kusini na Kaskazini ili bandari ya Lamu ifanikiwe kufanya kazi tarajiwa?

Labda ni sababu hizohizo za kiuchumi Kenya haitaki Somalia iishi kwa amani?
 
Wacheni comedy. Meli ya 255 metres sio post panamax. Ambia huyo mwandishi wa habari arudi shule. Ingekuwa 400 metres ndio ningeshtuka
 
Kwa maana hiyo Wakenya wanataka kuhakikisha amani haipo baina ya Ethiopia na Eritrea na Sudan Kusini na Kaskazini ili bandari ya Lamu ifanikiwe kufanya kazi tarajiwa?

Labda ni sababu hizohizo za kiuchumi Kenya haitaki Somalia iishi kwa amani?
Sisi hatuna haja na mabwana wako wa Kisomali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…