komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mwezi huu zimekuja ngapi?Tayari hii hapa imeshafika. [emoji23][emoji23]
Kilio mtakachotoa hamtaamini... Na wasi wasi na ule mkopo wa USD 3.4billion za kujenga SGR kulikuwa na some kind of collateral...na ndio maana saiv anaringa kuwakopesha tena kuendeleza...ikabidi awapeleke no where kwanza chaka..huku akisema mapato ya SGR hayatoshi..vita ya SGR na malori on cargo freight..aah mara Msa port inakwenda hivyo...si ndio collateral!? Ndio mnapigiwa pambio la lamu transshipment kumbe ndio mnakuwa na hiyo lamu yenu kama port ya msimbati na mkilishwa na bandari ya mchina Msa. View attachment 1283089