ibradebo
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 304
- 187
Nauza laptop aina ya 250 g4 kama kama spare parts haiwaki, ikiwa na vitu vifuatavyo vizima display, keyboard, ram 2gb, malango dvd rw, na body yake ikiwa katika hali nzuri bei kwa mawasiliano piga 0719152715, pia kuna battery ya laptop elite book nimeshindwa kuweka picha iko mbali na mimi kwa sasa vyote kwa sh 80,000