Computer4Sale Laptop dell core i3 bei nafuu

Computer4Sale Laptop dell core i3 bei nafuu

Joined
Aug 4, 2021
Posts
60
Reaction score
54
...
SOLD.
 

Attachments

  • images%20(23).jpg
    images%20(23).jpg
    15.6 KB · Views: 2
2nd Generation Dell Latitude E6420 ya 2012.

Mpe mdogo wako ajifunzie kutumia computer.
 
2nd Generation Dell Latitude E6420 ya 2012.

Mpe mdogo wako ajifunzie kutumia computer.
Hahaha najua ni 2nd generation ya 2012, ingekuwa 5th generation ungeona apo 500k kwenda juu, unapo judge bidhaa angalia na price .. sio kila muuzaji hajui anacho kiuza ..kama hununui tulia.
 
Hii pc chaji haikai.

Kio kimevunjiia.

Unataka 300k?

Kawauzie washamba wa kolomije
 
Habari wakuu.
Nauza laptop yangu Dell latitude
Specs zake:
4GB Ram
500GB Rom
Core i3
Hybrid graphics card intel + invidia
2.20Ghz
Kioo kimevujia lakini nakupa monitor safi kabisa.
Chaji 30 minutes.
Haina tatizo jingine lolote.
Bei 350k tu ... nicheki 0624951695 whatsap, text au piga simu.

View attachment 1974519
Ndugu huwezi kuuza hiyo pc kwaza picha ya kudownload

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna 80k cash changamka kabla sija badili mawazo
 
Back
Top Bottom