Laptop dell kaliii inauzwa kwa bei ya maandaziii

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
[h=2]Ni Dell 5040 Ram ni 4 gb Hard disk ni 500 dvd writer, Wireless, screen 15.6 inch web calm Price ni 530000 Processor ni 2.1Ghz, 2.1Ghz Dual core kama unahitaji nicheki inbox..
NB:- zimebaki chache!! IMG_20140721_170101.jpgIMG_20140721_170013.jpg[/h]
 
Bado hata hivo sijawah kula maandaz ya hiyo ela nkijitahd sana ni maandaz ya jero

hajasema maandazi ya kula wewe, amesema tu "BEI YA MAANDAZI", inaweza kuwa unanunua ukauze hotelini, au unanunua yamsibani, lakini ni bei tu ya maandazi!...lol
 
Ya msiban huwaga ni bure na ya kuuza hitelin huwa wanapika wenyewe hawanunui
 
hahaha, inategemea na hotel, hotel nyingi wana supplier ambaye anapeleka mikate na vitafunwa vingine, uswahilini ndiyo wanapika wenyewe. Misiba ya ushuwani hakuna kupika, anapewa mtu tender tu ya kulisha watu!
 
Haha haya bana umeshinda ila huyu jamaa sidhan kama ni wa ushuani huyu had anaiuza..... "just utani asije kupanik"
 
hahahaa, usiogope nilikuwa nakuzingua tu, kwanza bei yenyewe ndiyo bei kawaida ya soko,haina unafuu wowote!
 
Back
Top Bottom